M Muu12 Member Mar 20, 2016 13 4 Mar 20, 2016 #1 Tunawezaje kulinda hawa Tembo wetu wachache wanaohesabika Mbugani? ni kwa kutolewa adhabu kama ya walee Wachina? Kuna nini katika haya meno ya tembo?
Tunawezaje kulinda hawa Tembo wetu wachache wanaohesabika Mbugani? ni kwa kutolewa adhabu kama ya walee Wachina? Kuna nini katika haya meno ya tembo?