Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi.
Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili...
Sehemu ya kwanza - Tundu Lissu alikamatwa Aprhli 9, 2024, Mimba na kupelekwa Dar es salaamu, siku iliyofuata, Aprili 10, 2024, alishitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lissu alipinga...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA
MWALIMU JULIUS K. NYERERE
KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO
Tarehe 20 Julai, 1964
NINATAKA kuwaunga mkono...
Hivi kunaa anaejua sababu ya hii;;nyimbo nyingi za asili wanajiachia hewan wakifka za wachaga akuna anaetaka kumwachia mkono mwenzake tena wakianza kucheza macho yanaangalia kulia na kushoto...
PICHA YA JUU NI MWALIMU NYERERE ALIESHIKA TAMAA NA KUONEKANA KAMA MTU ALIEKEREKA NA JAMBO KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA UFUNDI HUKO ZANZIBAR 1963
Akishiriki Muungano
Kwanini katika swala ukuaji...
Inatajwa kuwa Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita,kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea.Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa kuishi siku tatu...
Katika wodi ya watoto wachanga kwenye hospitali ya Texas, muuguzi mmoja alionekana mwenye tabasamu pana, uchangamfu kubwa, huruma na kujali isivyo kawaida. Alikuwa karibu na kila mtoto aliyelia...
MWANDISHI KIJANA WA WAKATI HUU ANAZINDUA KAZI MBILI KWA SIKU MOJA NA WAKATI MMOJA
Si kitu cha kawaida kwa mwandishi yeyote duniani kuzindua vitabu vyake viwili katika siku moja.
Sijaliona...
Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake
Naomba tuwe pamoja
MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. Njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO...
From Moshi to Moscow: How a girl from the slopes of Kilimanjaro became Tanzania’s first female doctor
By Sean Christie
November 3, 2023
FIRST FOR WOMEN: Esther Mwaikambo was the first female...
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake?
Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye...
Wanasayansi na wabunifu wameunda bangili maalum inayoitwa "Pavlok", ambayo hutumia mshtuko mdogo wa umeme kumsaidia mtu kuacha tabia mbaya.
Bangili hii inafanya kazi kwa njia ya tabia ya...
Kama tunavyojua kuwa athari ya uislamu uliohuishwa na Muhammad rehma na amani zimshukie ziianza Makka halafu Madina na baada ya hapo zikaenea kila sehemu ya dunia kwa njia moja au nyengine.
Bila...
Anaitwa Kapteni Gaspa Derrick Mkandala Lufufu, halafu mbele hapo kuna maneno ya kihaya alipenda kuyaweka Mnaokumbuka vyema Mtatukumbusha.
Baada ya kustaafu kazi ya Jeshi Lufufu aliamua kuanza...
The Forgotten Library of Timbuktu: Africa’s Lost Knowledge
For centuries, hidden within the sands of Mali, lay one of the world’s greatest treasures—not gold or jewels, but knowledge. The city of...
Mikocheni asili yake ni miti ya mikoche. Mikocheni maana yake mahali penye mikoche. Mikoche yenyewe ni miti iliyo kama miwese/minazi. Miti hii inapatikana pwani ya Afrika Mashariki hadi huko South...
Ndugu zangu Mawaziri
Baada ya kusaidia kuvuka Mto salama, Basi Cabinet ijayo hamtakuwa tena na msaada kwenye Boti sana sana mtakuwa mizigo tu ambayo itahitaji Kutupwa nje Ili Chombo kiongeze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.