Kama kawaida yangu huwa nataka kujua yaliyoendelea Miaka ya Nyuma hasa kutoka kwa watu waliopigania nchi hii na kudai uhuru
Simon Rwamugila Kwa koo za Kihaya ana jina la Omutware yaan mtu au...
Erasto Bartholomeo Mpemba (1944 - 2023) alikuwa mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba (kwa Kiingereza Mpemba...
Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi...
It is not a fiction we are used to like those authored by African writers; Ngugi wa Thiongo, Chinua Achebe, Ole Soyinka and other you know.. not, it is real life experience;
Kitabu cha The Dark...
Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern...
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR AKIMSINDIKIZA JULIUS NYERERE MAHAKAMANI KESI YA UCHOCHEZI 1958
Kulia wa kwanza Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU, Wakili Pritt na Julius...
Thomas Sankara ni fupi lakini yenye nguvu, akijulikana kama "Che Guevara wa Afrika." Alikuwa rais wa Burkina Faso (hapo awali iliitwa Upper Volta) kuanzia mwaka 1983 hadi 1987.
Alikumbukwa kwa...
Siongezi neno:
"Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha...
MAJINA YAKE NA MAHALI ALIPOZALIWA
Al-Allamah Shaykh: Hussein bin Mahmud bin Hussein bin Abubakar Al-Ghassany Al-shadhily Al-yashrutwiy.
Babake: Shaykh Mahmud Al-Ghassany.
Mamake: Mwana Mwema...
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia ilibadilika kabisa. Mataifa yaligawanyika kati ya mabepari na wakomunisti, na vita vya silaha vikabadilika kuwa vita vya maarifa na teknolojia. Marekani...
Wapo watakaosema kuwa magereza hatari kwa vijana inaweza kuwa ni Komboinsin Juvenile Prison kutoka Burkina Faso, ama lile gereza la Gitarama ambalo kwa sasa linaitwa gereza la Muhanga kwa Kagame...
KALAMU YA SHAABAN ROBERT KATIKA SAUTI
Vijana wamenambia, "Mzee Mohamed wewe hasa ndiye unaefaa kuwasomea watu Shaaban Robert."
"Kwanini mnasema hivyo?"
"Lafidhi yako inaendana na mwandishi."...
Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu).
Watu...
Naangalia picha hiyo hapo chini ya Sheikh Ponda akiwa katika mkutano wa Vijana wa Kiislam uliofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE) mwaka wa 1988 na naangalia video za Kampeni ya Uchaguzi 2020...
Unajua Idi Amin? Watu wake walimuita Big Daddy, lakini maadui wake walimuita mzee wa buchani – “The Butcher”. Yaani huyu jamaa alitokea kule West Nile uganda kaskazini, Uganda, kijiji chenyewe...
Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa.
Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.