PEMBA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA ACT WAZALENDO
Nimeyaona maandamano ya ACT Wazalendo Unguja siku ya Jumamosi.
Waingereza wana msemo, "Seeing is believing," yaani kuona ni kuamini.
Maandamano ya...
SANI ABACHA, MBABE WA MAPINDUZI NIGERIA, UTAWALA WAKE ULIGUBIKWA NA UFISADI, MAUAJI,UKATILI NA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU: LAKINI NI KIPINDI CHAKE NIGERIA ILISHUHUDIA MAGEUZI MAKUBWA YA...
“When you dance with the devil, the devil doesn’t change. You do.”
Kuna watu wanaua, wanaiba Dawa hospital, Wanaiba miradi ya Maji, wanakula hela za Halmashauri, wanapora haki mahakamani...
KITU GANI HIKI WATU KUSHEHEREKEA MAUTI?
Nimeinamisha kichwa changu toka alfajir nawaza hili la watu kusheherekea kifo.
Mtume (SAW) katuasa kasema tuseme mema ya maiti zetu.
Hawa wamepitiliza...
1. Mangi Meli wa Wachaga (Aliuawa mwaka 1900)
Kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro aliyepinga ukoloni wa Wajerumani.
Alikamatwa na Wajerumani, akahukumiwa na kunyongwa hadharani Moshi
Hadithi...
LENANA Ole MBATIAN, Ni Laibon (Mungu) wa Kimasai aliyepata kuishi Kenya na alitawala kuanzia mwaka 1887 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 1900 kwa eneo la Nairobi na Tanzania pia.
LENANA, Ni miongoni...
Na R. Mwaruka. Unaweza kukisoma free ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
SURA YA 1
PAZI KILAMA KATIKA UZARAMO
WAZARAMO ni jumla ya mchanganyiko wa makabila ya Kibantu. Sehemu kubwa ya...
Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar.
Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye...
MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA WAPIGA VIBOKO WA SOKO LA KASA PEMBA
Sijapata kukutana na Mzanzibari nje ya Tanzania asiwe na historia ya mateso yaliyoifika familia yake au watu anaowafahamu baada ya...
Leo nimeona niwaletee kisa cha Zambia kupoteza marais wao wawili wakiwa madarakani ndani ya kipindi cha miaka 6.
Levy Patrick Mwanawasa alikuwa Rais wa awamu ya tatu na Rais wa Kwanza kufia...
Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajiwwa kutoa uamuzi wa kesi 48250 ya 2025 inayowakabili viongozi wa CHADEMA ifikapo Novemba 4, 2025.
Kesi hiyo inayosikilizwa na...
Hivi ushawai sikia story za mtu kiumbe kiitwacho Unju bin Unuk?
Basi ngoja nikusimulie kwa ufupi!
Unju bin Unuk ni mtu aliepata kuishi zamani inakadiriwa aliishi karne ya 16-17 uyu jamaa kuna...
Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi:
Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za...
Ninaandika insha kuhusu mkoloni Herrmann von Wissmann wa Ujerumani. Alikuwa meja na mwanajeshi wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani 1888-1895. Kuna wajerumani wachache wanaosema kwamba alifanya...
Ruka hadi yaliyomo
Potsdam baada ya ukoloni
"Upuuzi" katika masomo ya historia
Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro
https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc...
1. MAKUMBUSHO YA MANUSCRIPT ZA BIBLIA — Dead Sea Scrolls, Israel
Katika mapango ya Qumran, kandokando mwa Bahari ya Chumvi, yalifichwa maandiko ya kale kabisa ya Biblia — Dead Sea Scrolls...
​Hivi majuzi , mzee Kisumo alipokuwa anahojiwa na gazeti la mwananchi alisema kuwa Nyerere alipokwenda UN kati ya mwaka 1955, 1956 na 1957 alikutana na Cheaf Marealle akimpinga Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.