Jukwaa la Historia

On JF:

Mikocheni asili yake ni miti ya mikoche. Mikocheni maana yake mahali penye mikoche. Mikoche yenyewe ni miti iliyo kama miwese/minazi. Miti hii inapatikana pwani ya Afrika Mashariki hadi huko South...
18 Reactions
64 Replies
4K Views
Ndugu zangu Mawaziri Baada ya kusaidia kuvuka Mto salama, Basi Cabinet ijayo hamtakuwa tena na msaada kwenye Boti sana sana mtakuwa mizigo tu ambayo itahitaji Kutupwa nje Ili Chombo kiongeze...
0 Reactions
5 Replies
514 Views
MAZIKO YA KAKA YETU NUSURA FARAJ Kama ingekuwa hakuna mvua labda umati uliojitokeza Makaburi ya Kisutu kumzika kaka yetu Nusura Faraj ungekuwa mara mbili ya watu waliofurika hapo Kisutu. Miezi...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia...
3 Reactions
7 Replies
619 Views
Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wenzetu wametoka mbali Na ukiwangalia sahvi walivyopiga hatua,just imagine Hapo ni odense mji wa tatu kwa ukubwa Denmark old century 1850 walikuwa wanaishi hivyo,ila wenzetu wanajuwa kutunza...
5 Reactions
10 Replies
814 Views
TUJIKUMBUSHE KITABU HIKI BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA "BARAZA YA MAJESTIC..." Niliombwa kufanya pitio la kitabu hiki Zanzibar ndani ya ukumbi si mbali na Majestic. Hili halikufanyika kwa...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Nasoma soma historia ya Wazaramo. Nimekutana na hiki kisa. Basi baada ya Vita Kuu ya Pili Serikali iliongeza kujenga skuli za vijijini katika sehemu kadha za Uzaramo. Lakini sehemu nyingine...
1 Reactions
2 Replies
391 Views
MTIHANI MKUBWA WA UPINZANI: VIONGOZI KUSALITI VYAMA VYAO Nimeingia katika mitaa ya Maktaba naangalia picha za nyuma mbali na karibu za wanasiasa wengi waliokamatwa na jicho la camera yangu...
2 Reactions
1 Replies
324 Views
The Slave Trader Who Became a SIave Ayuba Diallo was born in 1701 in what is now Senegal 🇸🇳. His father was a sIave trader, and Diallo helped him with the business as he grew older. However...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa...
1 Reactions
2 Replies
358 Views
KITABU CHA MAISHA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE Rafiki yangu kanipigia simu kutoka duka la vitabu la Mkuki na Nyota, Samora Avenue ananitaarifu kuwa kipo kitabu cha maisha ya Jakaya Mrisho Kikwete...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
MTAA WA HAMZA MWAPACHU KWALE COUNTY, KENYA Haya kanihadithia Juma Mwapachu uso kwa macho. Juma Mwapachu anasema alipokuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki alikutana na Ali Mwakwere...
2 Reactions
13 Replies
656 Views
Dunia imepoa ndio unavoweza kusema. Dunia imepita watu wa maana ambao tutawakukumbuka daima. Mtu kama Joseph Kony au Mungu wa vita, pale zaire ya zaman na DRC ya sasa alipita Mobutu sese seko...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna mtu alisoma makala hiyo hapo chini niliyomtaja Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwaka wa 1956 alishiriki dua shambani kwa Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo, Mtoni yeye akahangaika...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
HISTORIA YA KIGOMA UJIJI NA ASILI YA KABILA LA WAHA Wakati miji mingine ikipata majina kutokana na ujio wa wageni, kuna baadhi ya miji ilipata majina yake kutokana na Waafrika wenyewe. Na kutaja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VITA YA WANGONI NA WANDENDEULE NA ASILI YA WANDENDEULE. Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Back
Top Bottom