Jukwaa la Historia

On JF:

HILLARY CLINTON; MWANAMKE JASIRI, ASIYEKATA TAMAA, MPENDA VITA NA BINADAMU WA KWANZA MWANAMKE KUGOMBEA URAISI MAREKANI. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Wednesday-28/12/2022 Marangu Kilimanjaro...
2 Reactions
7 Replies
743 Views
Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
https://youtu.be/dI8KfdvnwTw?si=CF9ZsjsrXKXtcB2i
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Jaji Frank Caprio alikuwa jaji mashuhuri wa Mahakama ya Manispaa ya Providence, Rhode Island, Marekani, ambaye alipata umaarufu duniani kupitia kipindi chake cha televisheni Caught in Providence...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Makala hii nimeikuta mahali na nimeileta hapa ili sote tufaidike In Shaa Allah: "On 3 October 1930, a bus carrying fifteen members of one family, a driver’s assistant, and a nanny plunged into...
3 Reactions
2 Replies
645 Views
BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Prof. Ali Mazrui Katika Maktaba ya Prof. Mohamed Timamy, Takaungu Leo ni siku yangu ya tatu niko Takaungu kijiji kiasi cha 50 km Kaskazini ya Mombasa njia ya kwenda Malindi. Nimemtembelea rafiki...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
NIMKUMBUKAVYO BI. SHARMILA (1942 - 2025) Siku mbili tatu zilizopita kuliwekwa katika mitandao makala ya marehemu Shakila mwandishi akieleza historia yake. Pamoja na makala ile kulikuwa na...
5 Reactions
14 Replies
781 Views
Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
151 years ago, Arthur Alfonso Schomburg was born in San Juan, Puerto Rico, to a black mother and white father who abandoned the household. He arrived in New York 17 years later. He was called the...
4 Reactions
0 Replies
291 Views
Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila. Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa. Nami nimejitahidi kuliangalia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwinyi Mangara tafadhali soma historia hiyo hapo chini kutoka kitabu cha Abdul Sykes inayoendana na picha hiyo uliyotuwekea: ''Kamati hiyo ilikuwa na wajumbe wafuatao: Abdallah Rashid Sembe...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
The pink diamond was found in October 1947 at the Mwadui mine in Tanzania, owned by Dr. John Thorburn Williamson. The uncut stone weighed 54.5 carats. The stone was cut by Briefel and Lemer of...
2 Reactions
3 Replies
707 Views
Jua la mchana lilikuwa linawaka juu ya Accra, lakini mitaa ilihisi kama imefunikwa na mawingu mazito ya hofu na kukata tamaa. Soko kuu lilikuwa na pilikapilika za kina mama wakipanga viazi na...
5 Reactions
5 Replies
547 Views
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: "UAMUZI WA BUSARA" KITABU KUADHIMISHA MIAKA 50 YA KURA TATU 1958 Utangulizi Kitabu hicho hapo chini, "Uamuzi wa Busara," mwaka nilikiandika mwaka wa 2008...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa...
4 Reactions
7 Replies
818 Views
https://www.instagram.com/reel/DNTU5UTIzEm/?igsh=MWNycGxvaXFtOXRk
0 Reactions
0 Replies
178 Views
https://youtu.be/oPR714mlWqM?si=ImakAxOgKJT3smFe
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Back
Top Bottom