Jukwaa la Historia

On JF:

SAMWELI DANIEL SHAFIIHUNA NUJONA- "SAM NUJONA" Barabara na mitaa mingi nchuni hasa Dar-es-Salam "zimebatizwa"majina ya watu mashuhuri nyakati za ukombozi wa kupigania uhuru wa Afrika mfano Bibi...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Na huko upande wa kaskazini wa Koloni la Wajerumani la Afrika ya Mashariki, Wachagga nao, chini ya Mangi (Mteni) Meli wa Moshi, walikataa katakata kutawaliwa na Wajerumani. Katika jitihada za...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947 Frederick Mchauru Ndani ya gazeti la Raia Mwema (Januari 3-9, 2018)...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Na Alastair Leithead Mto Congo ni mmojawapo wa mito mirefu zaidi duniani. Mto huu urefu wake ni 4,700km (maili 2,920) kutoka ndani kwenye kitovu cha bara Afrika hadi Bahari ya...
6 Reactions
21 Replies
8K Views
Kushoto Netanyahu na David Kimche Nimeikuta picha hiyo hapo juu katika group moja na chini yake huyo aliyeiweka akaandika maneno haya: ‘’ Duh! Watu muhimu sana hawa katika historia ya Zanzibar!’’...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanahistoria naomba mnijuze. Vyanzo mbalimbali vinaonyesha wangoni waliingia kwa kuchelewa sana vita ikikaribia kuisha na wakajitoa fasta baada ya kugundua maji ni uongo. Inaonekana centre ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Barabara inayotoka Mwenge kuanzia kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo inaitwa bara bara ya Sam Nujoma (Sam Nujoma road). Hili ni jina lililotOlewa kuenzi harakati za mpigania...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kupata ufafanuzi wakati wanagawana bara la Afrika nani alipewa Tanganyika, na Muingereza alipewa kututawala ama kutusimamia mpaka tukipata uwezo wa kujisimamia wenyewe ama? Nashindwa...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Historia ya mkoa wa Mbeya imegawanyika katika vipindi tofauti tofauti kabla ya uhuru na baada ya uhuru, Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni waingereza mnamo mwaka 1927, Wakati huo dhahabu ilianza...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
IFAKARA ni makao makuu ya Wilaya ya Kilombero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania na kitovu cha eneo lenye mashamba makubwa ya miwa . Kuna kituo muhimu cha TAZARA. Mji uko katika bonde la mto...
5 Reactions
21 Replies
15K Views
Papa Yohane Paulo II Mtakatifu Yohane Paulo II. Papa Yohane Paulo II. Papa Yohane Paulo II (kwa Kilatini: Ioannes Paulus PP. II; kwa Kiitalia: Giovanni Paolo II; kwa Kipolandi: Jan Paweł II; kwa...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Lord Dalemera ni mtoto wa 2nd Lord Delemera. Alizaliwa Cheshire Uingereza 28 April 1870 na alifariki 13 November, 1931. Lord Dalemera alisoma Eton na kumaliza shule akiwa na umri wa miaka 16...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zura Karuhimbi hakuwa na silaha yeyote ya kujilinda wakati wanaume waliokuwa na silaha walipoizunguka nyumba yake na kumtaka awakabidhi watu aliokuwa amewahifadhi nyumbani mwake. Mwanamke huyo...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu: -Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya...
1 Reactions
152 Replies
19K Views
UBAGUZI WA RANGI ULIVYOMKUMBA DR. AGGREY UKIWEMO WA NEW AFRICA HOTEL ENZI ZA UKOLONI Dr. James Emman Kwegyir Aggrey ni jina ambalo takriban 98% ya Watanzania hawalijui wala hawajawahi kulisikia...
35 Reactions
80 Replies
17K Views
Usiku wa manani Jumapili, tarehe 19 Januari 1964, Bw. PETRO BWIMBO, aliyekuwa Mlinzi Mkuu wa Rais JK NYERERE, alionesha ushujaa na uzalendo wa hali ya juu baada ya wanajeshi wa Tanganyika Rifles...
31 Reactions
44 Replies
51K Views
Ukisoma historia ya kabila za tanzania kabla ya uhuru , kabla ya ujio wakoloni, kabla ujio wa wamishonari unaambiwa kabila hili asili yake limetokea ukuu hapa inaonekana kabla hakujawa na nchi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Leo nimeona kidogo nilete historia japo kwa ufupi ya hii society ya kisiri ya Ku klux klan maarafu kama KKK KKK ni society ya siri iliyoanzishwa na wazungu miaka ya 1860 huko Marekani. Historia...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
MLINZI mkuu zamani wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Peter Bwimbo (87) ameandika kitabu kwa mara ya kwanza akiweka wazi jinsi Mwalimu alivyotoroshwa kutoka katika mikono ya wanajeshi walioasi...
13 Reactions
89 Replies
17K Views
FIRST KLAN 1865-1871 Kama nilivyoahidi nitachambua kiundani kuhusu hili kundi lenye historia mbaya sana ktk ainabinadamu. Leo nitaanza na hii First Klan Abraham Lincoln, rais wa 16 wa Marekani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom