J. K. Nyerere: We run walk while others walk. Naomba msaada

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
 
Alisema 'we must run while others walk'. Fanya google search ya hiyo utapata majibu ya kutosha.
 
Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
Nadhan kuna mahali umekosea kwenye hiyo quotation!

"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 
Back
Top Bottom