SERIKALI inakusudia kuligawa eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) katika kanda nne maalumu.
Lengo kuu la hatua hiyo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazotishia na...
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-africa-48273570
Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo...
Hii ni simulizi ya wavulana wadogo watatu ambao walikaribia kuangamia katika wimbi la watu waliokua wakitoroka ghasia na mauaji yaliokumba Rwanda mwaka 1994.
Pia ni inaangazia jinsi matangazo ya...
VISIWA VYA COMORO,NI ENEO LA VISIWA VILIVYO TOKANA NA MATUMBAWE.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Friday -11/1/2018
Comoro ni muunganiko wa visiwa vitatu, na ni nchi ya jamuhuri ya muungano wa visiwa...
WAKATI Zimbwabwe na Afrika nzima ikiendelea kuomboleza msiba wa kiongozi wake shupavu, Rais wa pili wa nchi hiyo, Robert Gabriel Mugabe (95), Gazeti la Ijumaa Wikienda linakujuza mengi zaidi ya...
Nakumbuka nilikuwa mdogo sana kiasi cha kushindwa kupambanua chochote katika yake ambayo yalikuwa yananizunguka.
Lakini nakumbuka ilikuwa katika miaka ya 1955 au 1956 niliposikia jina la mganga...
Mwili wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Mugabe umehifadhiwa katika eneo ambalo alizaliwa, baada ya juzi kuagwa katika mji mkuu wa Harare, katika hafla iliyoshuhudiwa na watu kiduchu...
Wasalaam;
Jamaa alifahamika kwa jina la Edward Makuka Nkoloso alipata kuwa Colonel wa jeshi mwalimu na mwanaharakati nchini Zambia
Kubwa zaidi alikuwa National director of the science academy...
UMAR ''SIMBA WA JANGWANI'' MUKHTAR
Umar Mukhtar akiwa kafungwa minyororo baada ya kukamatwa
Siku kama ya leo tarehe 16 Septemba 1931 ndiyo siku Umar Mukhtar alinyongwa na Wataliani baada ya...
Katika kitabu cha maisha yake alichoandika, ''Khrushchev Remembers,'' Nikita Khrushchev anaeleza usaliti wa Beria wakati Joseph Stalin ni mgonjwa akizimia na kuzinduka.
Akiwa katika hali ya...
NOTE: Your input is atmost importance. Lets change our minds and support Tanzania and Magufuli despite his good deeds also he is a human being just like us and that means he is not perfect. But...
MFAHAMU MTOTO WA RAIS ALIYETUMIA CHEO CHA BABA YAKE KUUA, KUTEKA NA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA BABA YAKE
Huyu anaitwa Charles "Chuckie" McArthur Emmanuel Taylor Jr, au wenyewe walimuita Demon. Huyu...
WAMANYEMA WA DAR ES SALAAM KATIKA TANU NA SIASA ZA KUDAI UHURU
Iddi Faiz Mafongo TANU Card No. 24 Iddi Tosiri TANU Card No. 25 Ndugu Wawili Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika, 1954
Wamanyema...
Leo nimebahatika kusikiliza kipindi cha channel Ten ambacho huwa kinazungumzia maswala ya utalii lakini leo walijikita kuzungumzia historia ya jiji la Dar es salaam.Wakati niko shule mojawapo ya...
Waliokaa kwenye viti mbele wa kwanza Dossa Aziz na nyuma yake wa kwanza aliyesimama ni Abbas Sykes na mbele waliokaa kwenye viti wa tano kutoka kulia ni Julius Nyerere ndani ya picha moja.
Jicho...
Najua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu...
MACHOZI YA ABBAS SYKES (1929 - ) SEHEMU YA NNE: RAMADHANI MASHADO PLANTAN NA DOSSA AZIZ
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka thelathini si CCM wala si rafiki yake mpenzi Julius Nyerere alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.