rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,190
- 20,156
Leo nimebahatika kusikiliza kipindi cha channel Ten ambacho huwa kinazungumzia maswala ya utalii lakini leo walijikita kuzungumzia historia ya jiji la Dar es salaam.Wakati niko shule mojawapo ya somo nililokuwa nafatilia ni somo la historia pia nilikuwa mpenzi wa kusoma vitabu mbalimbali lakini hapa jamiiforums kuna watu wamekuwa wakipotosha historia ya Dar es salaam hasa kuhusu majengo mbalimbali yaliyopo Dar es salaam kuwa yalijengwa na mwarabu lakini katika kipindi cha leo imeelezwa mwarabu au sultani Seyd aliacha majengo yasiyozidi matano ikiwemo jengo la whitefathers na Boma ambako pia kuna ofisi za jiji maeneo ya posta pia ndiye aliyejenga bandari ya Dar es salaam tofauti na wapotoshaji wanaosema kuwa hata ikulu ilijengwa na mwarabu pia makani ya Azania na St. Joseph yalijengwa na mwarabu