Uvumilivu wa kukubali siasa za ndiyo mzee? Mzee wenyewe alisema hadharani kuwa baadhi ya maamuzi yake hayakuwa na tija.Kambona angekuwa mvumilivu angefika mbali
Vijana mnalakujifunza hapa sio kila muda kuropoka ropoka tu
God first
Kambona aliingizwa mkenge tu na kundi lililomchukia nyerereUvumilivu wa kukubali siasa za ndiyo mzee? Mzee wenyewe alisema hadharani kuwa baadhi ya maamuzi yake hayakuwa na tija.
Kambona alisimamia alichokiamini.
Flora alikuwa mzungu?
Old Is Gold, Wazungu wanasema ukitaka kumtawala mtu basi mdanganye na kuifuta Historia yake. Ahsante kwa kumbukumbu Mkuu na kutukumbusha viongozi wetu.
Kambona angekuwa mvumilivu angefika mbali
Vijana mnalakujifunza hapa sio kila muda kuropoka ropoka tu
God first
Kambona aliingizwa mkenge tu na kundi lililomchukia nyerere
Hata km ni wewe ungekuwa rais kipindi nchi inapata uhuru halafu watokee watu wanayoyumbisha ujenzi wa msingi wa taifa sidhani km ungewachekea
God first
Uvumilivu wa kukubali siasa za ndiyo mzee? Mzee wenyewe alisema hadharani kuwa baadhi ya maamuzi yake hayakuwa na tija.
Kambona alisimamia alichokiamini.
Kambona angekuwa mvumilivu angefika mbali
Vijana mnalakujifunza hapa sio kila muda kuropoka ropoka tu
God first
Kuna hypothesis inasema kwamba kukosana kwa Nyerere na Kambona ni kwa sababu Uingereza ilikuwa inamuandaa kichinichini Kambona kumpiku Nyerere. Imenichukua miaka mingi kuiamini hiyo dhana lakini baada ya hii picha sasa ndiyo inaanza kuniingia akilini.
Hebu angalia mazingira ya picha yenyewe. Kwanza Kambona kafungia ndoa Uingereza, siyo Tanganyika. Pesa za bonge la sherehe ya namna hiyo alizipata wapi.
Pili, Kambona alikuwepo TANU ilipoanza kutanuka na hata mwaka 1955 alifungua baadhi ya matawi. Lakini Mwaka 1956 akaenda kusoma, hivyo harusi hiyo ameifanya akiwa mwanafunzi. Tumeshahojia wingi wa pesa za harusi wakati chama chake TANU hakikuwa na pesa. Je, wazungu na askari hao wote pichani walikuwa wanashangialia figure ya aina gani wakati Tanganyia Nyerere alikuwa hakoswi kubambikiziwa kesi na TANU kuonekana chama cha wahuni.
Kama Nyerere alikuwa Best Man basi alimkomesha Kamboa bila kujua maana alijionea kila kitu mwenyewe huko London kuliko angesimuliwa.
OK. Baada ya uhuru inasemekana Kambona alikuwa kila mwaka account yake inaingiziwa mapesa mengi. Kufikia mwaka 1967 Kambona alikuwa ni tajiri kuliko mtu yeyote serikalini. Pesa hizo zilikuwa zinatoka wapi na zilikuwa ni za nini?
Suala la Kambona linahitaji utafiti mwingi lakini hata haya tunaweza kuyamulika na kuyatumia.
Kuhusu Kambona kufika mbali hili ndilo lilikuwa wazo lake na ikiwezekana pia lilimksanisha Nyerere. Kufika mbali maana yake ni kutoka uwaziri na kuwa Rais. Hii ingewezekana kama Nyerere angemzidi kwa miaka kuanzia 15 kwenda juu.
Lakini Kambona na Nyerere hawakuzidiana hata miaka mitano. Hivyo suala la kumrithi lisingewezekana na ndiyo maana Nyerere alilijua akawa na tahadhari na Kambona mapema sana.
Acha kusingizia wazungu kwa kila kitu, Nyerere alipotaka kupinduliwa na jeshi mwaka 1964 nani alizima maasi yale kama si askari wa muingereza?. kama wangetaka aondoke si wangemuondoa tu mwaka huo nakumuachia nchi Kambona aliyeshiriki kikamilifu kuzima yale maasi?
Maneno yako yana ukweli ndani yake, Hata mimi nilijiuliza askari hawa walipataje kulinda hii harusi wakati Kambona wala mkewe hawakuwa wa familia ya kifalme ya Uingereza. Kwanza kupata kibali cha kufunga ndoa St Paul’s si jambo la kitoto.Kuna hypothesis inasema kwamba kukosana kwa Nyerere na Kambona ni kwa sababu Uingereza ilikuwa inamuandaa kichinichini Kambona kumpiku Nyerere. Imenichukua miaka mingi kuiamini hiyo dhana lakini baada ya hii picha sasa ndiyo inaanza kuniingia akilini.
Hebu angalia mazingira ya picha yenyewe. Kwanza Kambona kafungia ndoa Uingereza, siyo Tanganyika. Pesa za bonge la sherehe ya namna hiyo alizipata wapi.
Pili, Kambona alikuwepo TANU ilipoanza kutanuka na hata mwaka 1955 alifungua baadhi ya matawi. Lakini Mwaka 1956 akaenda kusoma, hivyo harusi hiyo ameifanya akiwa mwanafunzi. Tumeshahojia wingi wa pesa za harusi wakati chama chake TANU hakikuwa na pesa. Je, wazungu na askari hao wote pichani walikuwa wanashangialia figure ya aina gani wakati Tanganyia Nyerere alikuwa hakoswi kubambikiziwa kesi na TANU kuonekana chama cha wahuni.
Kama Nyerere alikuwa Best Man basi alimkomesha Kamboa bila kujua maana alijionea kila kitu mwenyewe huko London kuliko angesimuliwa.
OK. Baada ya uhuru inasemekana Kambona alikuwa kila mwaka account yake inaingiziwa mapesa mengi. Kufikia mwaka 1967 Kambona alikuwa ni tajiri kuliko mtu yeyote serikalini. Pesa hizo zilikuwa zinatoka wapi na zilikuwa ni za nini?
Suala la Kambona linahitaji utafiti mwingi lakini hata haya tunaweza kuyamulika na kuyatumia.
Kuhusu Kambona kufika mbali hili ndilo lilikuwa wazo lake na ikiwezekana pia lilimksanisha Nyerere. Kufika mbali maana yake ni kutoka uwaziri na kuwa Rais. Hii ingewezekana kama Nyerere angemzidi kwa miaka kuanzia 15 kwenda juu.
Lakini Kambona na Nyerere hawakuzidiana hata miaka mitano. Hivyo suala la kumrithi lisingewezekana na ndiyo maana Nyerere alilijua akawa na tahadhari na Kambona mapema sana.
HykFlora alikua na tabasamu zuri hakika na uzuri alijaaliwa.
asante kwa picha Sky Eclat