Jamani wana JF naombeni details kuhusu Ikulu yetu. Kuna mtu mwenye historia ya makazi haya ya raisi wetu? Je kuna mwenye picha za kuonyesha Ikulu yetu ilivyo(au kutokana na usalama hai ruhusiwi?)...
First taking things in sequence of events: There were two persons waiting within the tunnel for Diana,Princess of Wales,and Dodi al Fayed,to finish off the first of many plots plot to vanquish...
DENIS PHOMBEAH KWA UFUPI
WanaMajlis,
Kuna mwenzetu mmoja kaniletea ujumbe huo hapo chini anataka
nimpe historia ya Denis Phombeah:
smarte_r said:
mzee wangu mohamed said itakuwa vyema kama...
King Leopold ndiye muanzilishi wa harakati za kueneza dini Congo.
Alileta misaada mingi lakini pia alijinufaisha kwa madini na meno ya tembo.
Hii picha ina maneno 1,000. Wapagazi wote wamevaa...
Kanisa Katoliki Tanzania Bara litaadhimisha Miaka 150 tangu Ukristo Ukatoliki uingie Tanzania bara kupitia Mji mkongwe wa Bagamoyo,na pia wataashimisha miaka 100 toka Kanisa Katoliki la Tanzania...
Mjadala kuhusu rangi za bendera ya Taifa la Tanzania ni mzito kuliko nilivyodhani. Nimepekua baadhi ya nyaraka za kimataifa na zenyewe zinakinzana. Bendera ya Tanzania ilizinduliwa rasmi Tarehe...
WANYASA WANAULIZA DENIS PHOMBEAH NI NANI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA ?
Raia Mwema 14 - 20 Agosti, 2019
Raia Mwema la 14 - 20 Agosti limechapa makala ambayo kwanza ilikuwapo hapa...
Ndugu wakuu, Maveterani wa kitambo,na wote wenye ufahamu,Salaam.
Ninapenda kufahamu juu ya Wakuu wa "Jeshi" la Police, IGPs tangu Tanganyika huru na baadae Tanzania,na rekodi zao , walau...
Mwanafunzi mtoto wa Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Ali Abbas anakumbuka kuwaona Abdulwahid Sykes, Dossa Aziz na Nyerere mara kadhaa katika miaka ya mwanzoni ya 1950 wakija kuonana na sheikh katika...
Picha: Kulia Mzee Mshume akimsindikiza Baba wa Taifa kupiga kura ya urais Ukumbi wa Arnautoglo akiwa na Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi 1962.
Mzee Mshume Kiyate anamvisha Baba wa Taifa...
The Salem witch trials of the 1690s have an iconic place in American lore. But before the Salem witch hunt, there was the “Great Hunt”: a larger, more prolonged European phenomenon between 1560...
WAMANYEMA WA TABORA NA SIASA ZA UKOMBOZI TANGANYIKA
Baada ya kusoma historia ya Bi. Dharura bint Abdulrahman msomaji wangu mwingine ameniandikia:
''Asalam Aleykum. Ukitaka khabari za huyu mama...
WAMANYEMA WA TABORA NA SIASA ZA UKOMBOZI WA TANGANYIKA
Abdallah Said Kassongo
Baada ya kusoma historia ya Bi. Dharura bint Abdulrahman msomaji wangu mwingine ameniandikia:
''Asalam Aleykum...
TULIKOTOKA KUFIKIA SADC SEHEMU YA TATU
TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA WAPIGANIA UHURU WA...
Ukweli huu umejidhihirisha awamu ya 5
Wafitini, wachochezi, wasiokuwa wazalendo, wanafiki, mabeberu, mafisadi, wala rushwa kwa ujumla wao itaeaona wanatoa majibu kwenye komenti kama hizi muhimu...
Dunia ina mambo siyo kidogo. Wakati ambao unahisi upo kwenye nyakati ngumu kuna wenzako mikiki wanayopitia ni mara mia ya hiyo ya kwako!!
Kwanza siku hizi, kizazi cha millenials, tuna raha...
Qaddafi was not killed for humanitarian purposes but for the oil and for money. His ideas of an African gold-backed currency were his major undoing.
The recent Hillary Clinton email leaks have...
Ugeni wa SADC ni wetu sote na tunaupenda sana Sisi Watanzania, lakini kamati ya mapokezi fanyeni kila kitu kinachowezekana ili msisababishe foleni ndefu za muda mrefu njiani Kwa wananchi wenzenu...
" Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu).
Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa...
Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Kibao kimeandika jina lake kama ''Lwafu'' Nduna Mbano
Kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Kwa miaka mingi sana na hadi leo jina la Sultani wa Wangoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.