Jukwaa la Historia

On JF:

Wana ukumbi, Utumwa ni kosa kubwa la kibinadamu. Anayemkamata mwanadamu mwenzie na kumuuza kama bidhaa ni dhalimu bila kujali ana taswira gani katika jamii. Kiujumla watu WEUSI ndio kihistoria...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Historia ya Algeria Historia ya Algeria inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Algeria. Historia ya kale ya Algeria Historia inayojulikana ilianza na...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Tukianzia kwenye miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita inapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hili na kabila lile, wale watakao shindwa vita, hao huchukuliwa kama mateka. Hivyo...
3 Reactions
5 Replies
7K Views
“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi” karl max kupotoshwa kwa historia kumempotosha mwanadamu kuliko kingine chochote kinacho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka ya Nyuma Mabaharia waasi maarufu walioizamisha meli ya Kiingereza iliyoitwa Bounty waliishia kufanya makazi yao wakiwa pamoja na wanawake, wenyeji wa eneo lile katika kisiwa cha Pitcairn...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
HIVI NDIVYO "OPERATION DESERT STORM PHASE II", ILIYO ONGOZWA NA MAREKANI ILIVYO TAMATISHA UTAWALA WA SADDAM HUSSEIN ABD AL-TIKRITI NCHINI IRAQ. Na. Comred Mbwana Allyamtu Monday -13/8/2018...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Sunderland 1966 - 1968 Kulia waliosimama: Adam Athman, Arthur Mambeta, Emmanuel Mbele, Haji Lesso, Shida Stua, Hassan Mlapakolo, Yusuf Maleta, Mussa Libabu, Mbaraka Salum, Hamisi Fikirini...
7 Reactions
15 Replies
5K Views
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare Mkoa wa Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. Lugha yao ni Kipare au Chasu). Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro lakini pia...
22 Reactions
138 Replies
77K Views
"OPERATION COLD CHOP" ILIYO RATIBIWA NA CIA, ILITAMATISHA UTAWALA WA OSAGYEFO KWAME NKRUMAH NCHINI GHANA. Na.Comred Mbwana Allyamtu Saturday -5/1/2019 "Operation Cold Chop" ndio ilikuwa code...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
"OPERATION STORMED MENGO", NI OPERATION ILIOSUKWA NA MILTON OBOTE KUTAMATISHA UTAWALA WA BAGANDA, NA KUMPINDUA EDWARD KABAKA MUTESA II. Na. Comred Mbwana Allyamtu Friday -25/1/2019...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikisikia habari kuhusu hii vita na jinsi Tanzania ilivyolisapoti hili jimbo katika kujitenga kutoka Nigeria. Nimepata kusoma mahali kuwa vita hivi vimepiganwa kwa muda...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
HISTORIA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakifanya kutumia taasisi za dola ikiwa ni pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kutisha, kutesa, kunyamazisha na kudhoofisha upinzani wa kisiasa au...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Na Ahmed Rajab ALIZALIWA Marekani katika mji wa Pittsburgh, Texas. Mama yake akiitwa Catherine Bell Miles na baba yake akiitwa Leo Clington Aldridge Sr. Wazazi hao, Wamarekani wenye asili ya...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Hoja (Ijumaa, 22- 26, Novembe 2019) kuna makala ya Suleiman Kumchaya kuhusu historia ya TAA na TANU ambayo ina makosa sawasawa na makosa katika makala ya Mzee Pius Msekwa iliyochapwa...
6 Reactions
149 Replies
13K Views
Mrima (kwa Kiingereza: Mrima Coast) ni jina la sehemu ya pwani ya Afrika ya Mashariki inayotazama Zanzibar. Wenyeji wake walijulikana kama Wamrima ilhali kati yao walikuwa watu wa makabila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
VITA VYA MAJIMAJI MPAKA JINA LA SONGEA SEHEMU YA KWANZA JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya...
7 Reactions
39 Replies
13K Views
Nimeona ni vizuri niandike Makala hii ili waungwana akina Pascal Mayalla na wenzake wa some na waelewe ninachokusudia. Viongozi na waandishi wengi nchini mwetu huwa hawana dhamira njema ya kutaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sera hiyo ililenga kuvipatia Uhuru wa bandia na kuvitenga moja kwa moja na mwambao wa Kenya (Mombasa) na kuiviunganisha na Tanganyika. Lengo la Sera hii ya Uingereza ni kupunguza nguvu ya Waislamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika dini tulifundishwa kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na Eva, na nilipokuwa shule, napo nilifundishwa kuwa chanzo cha binadamu ni nyani, halafu akawa anabadilika hadi kufikia...
7 Reactions
28 Replies
29K Views
Japo wengi wataguna lakini nina imani nitajitetea vizuri tu. Historia ya Afrika na mtu mweusi ndio imekuwa gumzo tangu karne ya 17 na ndio iliyosababisha mgawanyo wa bara la Afrika. Ukarimu wa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…