Wametumia American measures wanasema shela yake ilikua ya urefu wa yadi 50. Mkononi bibi harusi alivaa bracelet ya almasi iliyokuwa zawadi kutoka kwa John Kennedy
Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa...
Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapigano ya Nyuki kikosi "B", yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi la Uingereza chini ya Meja Jenerali A. E. Aitken...
Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888)
Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya...
Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.
Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga
Alizaliwa...
Eti wandugu. Mfumo wa kichifu ulikuwa wa kinyonyaji au wa haki? Mgawanyo wa mali. Utoaji wa haki. Kodi, huduma za kijamii nk vilikuwaje? Ulifanana na mfumo wa kijamaa au wa kibepari?
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema...
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa.
Neno safwa...
Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika.
Ninashindwa nianzie wapi katika...
Wakuu,
Kama filamu ya Royal tour itakuwa na part two basi haya maeneo yatakuwa ni mazuri mno kuunganishwa Kwa filamu hiyo. Itasaidia sana kuongeza utalii Na kuinua uchumi wa eneo la bagamoyo...
AHMED RAJAB, SALIM HIMIDI NA SIMBA WAZIRI
Picha ya kwanza niliyoweka hapa kaniletea rafiki yangu Mohamed Abdul Rahman kutoka Ujerumani.
Picha hii kulia ni Salim Himidi katikati ni Joachim...
Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake...
Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40.
Kama...
SALIM HIMIDI KUMBUKUMBU: COMRADE WA NGAZIJA
Hukaa nikawaza wakati mwingine vijana wa Kizanzibari Makomredi jinsi walivyowanyima usingizi Wamarekani.
Najiuliza ingekuwaje makoredi wa Zanzibar na...
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema...
Hivi huyu naye ndio alifutika kabisa kwenye historia yetu? Naona huku wazungu wanamwona one of the greats from Africa
Pichani MALCOLM X alipokuja Tanzania akiwa na BABU
Nakumbuka wakati ni ko...
ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua?
Joseph Mihangwa
Toleo la 126
24 Mar 2010
APRILI 7, mwaka huu, Watanzania katika ujumla wao (angalia: kuna Watanzania na Wazanzibari)...
Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo...
Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.