ANAITWA GASPAR YANGA
Huu ni urithi wa Waafrika huko Mexico baada ya Christopher Columbus ni mada ambayo haipatikani sana katika vitabu vya historia ya Amerika.
Gaspar Yanga ni mmoja wa watu...
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi...
1931 Cup
Central Government School
Mnazimmoja
Waliosimama kuanzia kulia:
1. Amour Muhammed Al Barwani
2. Muhammed Abdulla Al Ghassany (marehemu Baba)
3. Saleh ( Baba yake alikuwa akiuzwa Haluwa)...
KUTOKA CASSIUS CLAY 1964 HADI KARIM MANDONGA 2022
Kuishi kwingi kuona mengi.
Sikumjua Mandonga hadi alipopigwa na Shabani Kaoneka na kuona taarifa zake mitandaoni.
Hapo ndipo nilipomfahamu...
Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo...
"BARA MTATESEKA SANA KWA SABABU HAMTAKI KUTUJUA WAZANZIBARI"
Ilikuwa wiki ya pili tu baada ya uchaguzi wa Rais Zanzibar baina ya Maalim Seif na Dr. Ali Mohamed Shein.
Mwaka ni 2010.
Kumbukumbu...
Death of Mamadou: DRC’s warrior leader
Colonel Mamadou Ndala, who led the fight against M23 rebels in DR Congo, was killed on January 2.
Colonel Mamadou Ndala of the Congolese armed forces was...
Wamormoni ni kundi la watu wanaohusiana na dini ya Mormoni, iliyoanzishwa na Joseph Smith huko New York, Marekani, katika miaka ya 1820 akidai alipata njozi na kuonyeshwa kitabu kitakatifu.
Baada...
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1. Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama...
Historia ndio Uti wa mgongo wa kila Taifa. Bila kujua historia ya Taifa husika ni sawa na kutojua ulikotoka na hujui unakokwenda.
Anayejua historia vizuri, pia anajua jana ilikuwaje, anajua leo...
AKILI KUBWA: KIBWANA HAMZA MWAPACHU (1913 - 1962) KATIKA KUUNDA TANU
Katika kitabu cha Abdul Sykes nimemtaja Hamza Mwapachu mara 42.
Katika kitabu cha historia ya Julius Nyerere kilichaondikwa na...
BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI
Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam.
Ibrahim tumekuwa...
Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya.
Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k...
KUTOKA PHOTO ALBUM YENYE UMRI WA MIAKA 50
Asubuhi na baridi ni kali sana.
Huenda ni haya mabadiliko ya tabia nchi.
Lakini kwa kawida Dar es Salaam haijapata kuwa na baridi kali kama hii mwezi...
Natambua wengi wenu mtakuwa hammumfahamu huyu mwanfasihi wetu mkongwe kabisa ambaye kwa sasa hatunaye duniani, ni mwanafasihi ambaye katika historia ya fasihi nchini Tanzania hatokaa asahaulike...
Ni kweli inasadikiwa dunia ina MATAIFA fulani fulani kama unatambua tutajie na faida zake.
Mimi naanza na Israel. Ni taifa la kwanza kwa kuingiza pesa za kitalii duniani.
Na ni watu hatari ktk...
RASHID ''AFISA'' SISSO
Nimemfahamu Rashid Sisso toka udogo wangu na nikimjua kama mmoja kati ya wanachama wakubwa wa TANU.
Nilipoanza utafiti wa historia ya TANU katika miaka ya 1980 ndipo...
HARUNA IDDI TARATIBU: DODOMA IMEMPA MTAA?
Rafiki yangu mmoja jana kanilietea picha bila ''caption,'' chini akaandika kuniuliza kama namtambua huyo aliyekuwa katika picha.
Nikamjibu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.