Naomba kufahamishwa vitabu vizuri vya chemistry na biology kwa A-level

Feb 1, 2017
67
48
Jaman kwa anauejua vitabu na vitu vingine ambavyo mwanafunz anaye soma chemistry na biology lazma awe navo
NASHUKURU MKINITAJIA LIST...
 
Dah asante BG na kwa bios
Dogo upo tayari kweli kusoma Bios na Kemia? maana sio kitoto kama unavyodhani!... haya kwa Bios tafuta Understand Biology, Biological Science Au S.Chand Volume XI au vyote kwa pamoja... usisahau kuwa na vitini ya Mandia na Josephat, viko summarized sana... kwa Kemia kuna Conceptual Chemistry S.Chand pamoja na Ngaiza Series Of Chemistry bila kusahau UNGA CHEMISTRY... hivyo vyote nilivyokuorodhoshea mdogo kuvipata kwa pamoja hutakiwi kuwa na pungufu ya 220,000/=... maandalizi mema ya kwenda kidato cha 5.,
 
Samahan bro na mm pia naomba msaada vitabu gan vinafaa kwa HKL ili nijiandae mapema
 
Nko tayar bro na nna nia na kitu nachosema....ntakutafuta baada ya likizo ya kwanza unambie where naweza pata na tuit conc
 
Samahan bro na mm pia naomba msaada vitabu gan vinafaa kwa HKL ili nijiandae mapema
kwa HKL haina haja ya kujifanyia maandalizi, material yake yako available na hayagharimu sana... we kula bata tu saivi usubiri mwezi wa 7 kwenda kuripoti shule... utakutana navyo hukohuko shule...
 
Sawa bro
 
Kwaiyo ulivoacha shule na walioendelea umeona tofaut zp
Wapo nyumbani hawana ajira, wengine wanafanya kazi na kulipwa mshahara kidogo,
In shortly waliosoma wengi wao wakimaliza masomo hutegemea kuajiriwa, na hata kama hatopenda kuajiriwa na kuamua kujiajiri hatokuwa na mtaji wa kutosha au asiwe nao kabisa huo mtaji wa kuanzia biashara yake.
Hivyo muda mwingi atakuwa hafanyi shughuli yeyote au atafanya shughuli ambayo hakutarajia kufanya ila ilimbidi afanye kusudi aweze kuishi.

Kwa upande mwingine mtu asiye soma ama alisiyekuwa na elimu muda mwingi hutumia akili kutafuta pesa mtaani haijalishi ni kazi gani atafanya ila akili ya kutafuta pesa atakuwa nayo maradufu, hii ndio tofauti ya aliyesoma & asiyesoma.

Hao niliosoma nao na walioendelea bado hawajaweza kunizidi kipato.
Nimewaonea huruma.

" try to be different "

" if you want it, you have to work for it "
 
Back
Top Bottom