Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa matokeo haya walimu mnafanya nini? Ni mfano tu wa shule za serikali! S5145 MIONO SECONDARY SCHOOL DIV-I = 8; DIV-II = 46; DIV-III = 106; DIV-IV = 15; DIV-0 = 5 and many many others!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello guys nimeitim form four this year, Nina history C, English C, physics D, chemistry D ,biology D, math na agriculture F na mengine yoote ni D wakuu vipi hapo nitaweza kwenda Post sent using...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari nahitaji kwa aliepata viwango vya kutunuku matokeo ya acsee 2017 necta kila mwaka lazima watoe ila mwaka huu sijaona Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
ARE YOU A GRADUATE AND LOOKING FOR FULLY FUNDED SCHOLARSHIP IN MASTERS/PhD? MICHIGAN STATE UNIVERSITY WILL CONDUCT A RECRUITMENT FAIR ON 22nd JULY, 2017 AT INSTITUTE OF SOCIAL WORK. IT IS...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
BUNGENI DODOMA: N/ Waziri TAMISEMI Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo wakafundishe, walimu wa ziada sanaa kupelekwa msingi Kuna wasiwasi walimu wa sanaa kuwa...
3 Reactions
134 Replies
32K Views
Vyuo vikuu hapa Tanzania haviko aggressive and proactive katika kujitangaza tofauti na vyuo vya Kenya na nchi nyingine. Vyuo vya nje viko active sana kujitangaza kwenye social media na media...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jamii.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni ushauri kwa course zifuatazo ipi nzuri na yenye soko wadau SUA ::Bsc of agronomy ,::Bsc in biotechnology and labaratory science ::Bsc in agricultural education UDSM :: Bsc in molecular...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii. Naomba msaada. Kijana wangu amehitimu kidato cha sita Ifunda tech lkn matokeo yake hayapo. Amewekewa E* E*__________. Je manaake nini ? Na ili kujua tatizo nianzie wapi...
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Hello JF. Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu kwa ufaulu wa Economic "D" geography "E" Mathematics "E" Zm(EGM) three ya point 14. akasome kozi gani kwa ngazi ya diploma, kozi itakayokuwa na urahisi na mgawanyiko sehemu nyingi za kupata...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Shule ya sekondari Magufuli ni moja kati ya shule ambazo hazisikiki sana kwa sasa kutokana labda na sababu mbalimbali nmejaribu kuangalia matokeo yao mbalimbali ya miaka iliyopita na kulinganisha...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Jamani karibuni nyote tukumbushane yale yote tuliyopitia meta secondary school, mi binafsi namkumbuka mwalimu MWANGOKA, MAHENGE NA JOB karibuni kwa visa na vituko. Post sent using JamiiForums...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwanini boys wamefanya kawaida angali girls wao wamefanya vizuruli still wao ndio wana kaskkash nyiingi za ratiba za maisha. JE BOYS WAMEKUWA MA BISHOO SAANA??? AU M. BET ZIMEZIDI AU SOCIAL...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jina la Mh linazidi kung'aa hii shule ya jina lake hamna 0 hamna IV. S4605 MAGUFULI SECONDARY SCHOOL DIV-I = 8; DIV-II = 59; DIV-III = 16; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwenye kujua shule yeyote ya serikali ninayoweza kumhamishia mdogo wangu yupo kidato cha pili, naona nikimleta huku karibu yangu itakua rahisi kumsaidia kimasomo. Shule isiwe mbali sana na eneo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wakuu, Natafuta chuo cha maswala ya Afya kwa hapa Dar es Salaam kinachotoa kozi kwa nganzi ya Diploma, nursing, pharmacy, clinical medicine na zinginezo, mwenye kuvifahamu anitajie. Post...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Link hi hapa http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
Kama kuna kitu huwa kinaumiza vijana wengi wanaokua wememaliza elimu ya upili kwa upande wa sekondari mara baada ya matokeo kutoka huwa ni kujua atasoma nini, atasoma wapi na je anachotamani...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
kwanza hongereni kwa kuhitimu kidato cha sita na kufauru kwa waliofauru. karibuni sana ktk ulimwengu wa wasomi..kwa bahati ambayo sio nzuri mmehitimu ktk kipindi ambacho muda mlioutumia shuleni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom