Mfumo huu wa kupanga matokeo ufutwe

Mfumo huu wa kupanga matokeo ufutwe

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF.

Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls ,hamuoni kuwa hii inamuaffect mtoto anakuwa demoralized???low self esteem na hata akimaliza shule anakua haunted by school experience?!

Nasuggest kuwa na passing grade say average ni 50% mtu anajua amefeli au amefaulu kwa kiasi gani,hii nayo ina matatizo yake ila sio kama kuwa wa mwisho aisee 😀

Serikali ipime hili,wataona benefits za passing grade ni better than kubrand watoto failure
 
Hello JF.

Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls ,hamuoni kuwa hii inamuaffect mtoto anakuwa demoralized???low self esteem na hata akimaliza shule anakua haunted by school experience?!..............................nasuggest kuwa na passing grade say average ni 50% mtu anajua amefeli au amefaulu kwa kiasi gani,hii nayo ina matatizo yake ila sio kama kuwa wa mwisho aisee 😀😀,..................serikali ipime hili,wataona benefits za passing grade ni better than kubrand watoto failure..................
acha hizo, unataka kuleta siasa kwenye science. Pv=nRT...... unataka iweje formula hiyo? tuilembe?
 
acha hizo, unataka kuleta siasa kwenye science. Pv=nRT...... unataka iweje formula hiyo? tuilembe?

mmmn,sipendi siasa,nataka kujengea watoto mazingira ya kujiamini,hii itawasaidia hata kwenye career zao hapo baadae,

nawish zile taasis kama TWAWEZA,wangefanyia utafiti juu ya hili,usipomuwekea mazingira ya kujiamini akiwa mdogo,then anaweza kufail mambo mengi.
 
Basi kusiwe na mitihani. Mitihani essence yake ni grading! Pendekeza mbadala wa mtihani!
 
Basi kusiwe na mitihani. Mitihani essence yake ni grading! Pendekeza mbadala wa mtihani!

hivi umenielewa kweli???mitihani iwepo,lakini sio kuwawekea nafasi ya mwisho au ya kwanza,mkuu nimeona mahali and it works,mbadala wa mitihani si course work?? sipo huko mkuu anyway ni maoni yako nayaheshimu pia.
 
hivi umenielewa kweli???mitihani iwepo,lakini sio kuwawekea nafasi ya mwisho au ya kwanza,mkuu nimeona mahali and it works,anyway ni maoni yako nayaheshimu pia.
wapi huko, weka link nione. Najua medicine wanafanya hiyo ya 50, pass no clasification ya degree ya medicine. Ina maana sana maana ukiweka grading, basi wagonjwa watamkimbia daktari kuwa huyu alipata degree ya karai! LAKINI kama unabaki kufundisha pale, grading zinafanyika internally!
 
me naona hio system haitakuana changamoto ukilinganisha na hali ilivyo kwasasa

sent from aifoni seveni plasi
 
wapi huko, weka link nione. Najua medicine wanafanya hiyo ya 50, pass no clasification ya degree ya medicine. Ina maana sana maana ukiweka grading, basi wagonjwa watamkimbia daktari kuwa huyu alipata degree ya karai! LAKINI kama unabaki kufundisha pale, grading zinafanyika internally!

ona sasa,mie naongelea primary na secondary,wewe unaongelea chuo?!sikuwekei link tafuta mwenyewe ukipata muda,hata chuoni,kuna first class,upper second etc hakuna wa mwisho..............sijui hata kama umenielewa mkuu
 
wa mwisho wapo, ukipata degree ya karai nyote mnawekwa kwenye kundi la wa mwisho!
Basi mdada mwema.
 
Mbona sija kuelewa mkuu mbona atahuku chuo kuna wa mwisho. Hebu tuwekee mfano wa nchi ambayo inatumia mfumo kama huo mkuu.
 
Back
Top Bottom