Msaada kwa matokeo haya ya kidato cha nne

Msaada kwa matokeo haya ya kidato cha nne

Joined
Jul 15, 2017
Posts
61
Reaction score
20
Hello guys nimeitim form four this year,

Nina history C, English C, physics D, chemistry D ,biology D, math na agriculture F na mengine yoote ni D wakuu vipi hapo nitaweza kwenda

Post sent using JamiiForums mobile app
 
nenda kasomee kozi za afya clinical assistance officer miaka miwili.
With F in mathematics course ya afya kwa CA sidhani kama criteria zinaruhusu labda basic certificate ya pharmacy na community health.
Atizame criteria kwa website ya NACTE
 
Me ndo sijakuelewa kabisa ulichokiandika na ulichokimaanisha..
Kwa nini mnakuwa shallow shallow namna hii hata kwenye mambo ya msingi...?
kajifunze kuandika then uje hapa.
 
Back
Top Bottom