Vyuo vikuu hapa Tanzania vimelala, havijitangazi

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,109
Reaction score
1,423
Vyuo vikuu hapa Tanzania haviko aggressive and proactive katika kujitangaza tofauti na vyuo vya Kenya na nchi nyingine.

Vyuo vya nje viko active sana kujitangaza kwenye social media na media nyingine kubwa. Na vimeweka ma-agents ndani na nje ya nchi zao kwaajili ya kujitangaza. Vimewekeza pesa nyingi kwaajili ya kujitangaza.

LAKINI vyuo vikuu vya BONGO vimepoa kabisa kana kwamba HAVIPO. Vilizoea kupewa wanafunzi kwa dezo toka TCU, na kama ikibidi kuhonga, basi ni kwa pesa za mboga. Mazoea mabovu hayo ya vyuo vikuu kusubiri vya DEZO yamefutwa(safi sana Waziri Ndalichako kwa uamuzi huo).

Lakini pamoja na maamuzi hayo bado vyuo hivi VIMELALA. Hakuna matangazo wala nini. Nchi hii tumelaaniwa. Kila kitu shida tu! Hata taasisi za kisomi hakuna initiative/mwamko wowote. Kwa mwendo huu vyuo vingi hapa nchini vitakufa.Wacha vife tu. Kwa mfumo wa sasa kila chuo lazima kipigane kupata wanafunzi. Vinginevyo ni kifo tu. Lakini wasomi wetu ni business as usual, wakisubiri kuteuliwa. Wataisoma namba.
 
Kwani lengo la kuwa Chuo Kikuu ni kipi? Na kwa vijitangaze kwa nani na wapi na ili iwe nini?
 
Sorry, correction "havijitangazi" siyo havitangazi.
 
Na mwaka huu vingi vitafungwa hasa vya private..

Sent from my SHV-E250L using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha matangazo ya shule yaliyoendeshwa na Masako wa ITV.
Kuna wahenga waliosema chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Hayo ni mawazo ya zamani sana ambayo yanapingana na mifumo ya uchumi au soko shindani. Oxford university wanajitangaza. Je utalinganisha na udsm iliyokaa kimya?
 
Ndo maana tunasema kwa kuanzia TCU itoe guide book kwani wahusika wengi na wazazi hawajui menu iliyopo. Watu wanajua vile vyuo vya zamani au vilivyo karibu yao. Hii itachangia vijana kukosa umakini unaotakiwa kwenye kuchagua wapi waende.
 
Kwani lengo la kuwa Chuo Kikuu ni kipi? Na kwa vijitangaze kwa nani na wapi na ili iwe nini?
Kujitangaza ni muhimu sana. Kuna shughuli mbali mbali zinaweza kuviweka vyuo katika public profile, yaani vyuo vinaweza kufanya shughuli zinazoweza kuviweka katka media. Research zenye impact katika maisha ya watanzania na Afrika kwa ujumla. Lakini pia lazima chuo kiwe na schemes mbali mbali kwa ajili ya kuwavutia watu wengine
 
ni kweli. ukiangalia hata kwenye web zao hawana updates za prospectus zao na mambo mengine.
 
Kujitangaza ni muhimu sana. Kuna shughuli mbali mbali zinaweza kuviweka vyuo katika public profile, yaani vyuo vinaweza kufanya shughuli zinazoweza kuviweka katka media. Research zenye impact katika maisha ya watanzania na Afrika kwa ujumla. Lakini pia lazima chuo kiwe na schemes mbali mbali kwa ajili ya kuwavutia watu wengine

Lengo la Chuo Kikuu ni kuelimisha Watanzania, NUKTA!
 
Na mwaka huu vingi vitafungwa hasa vya private..

Sent from my SHV-E250L using JamiiForums mobile app
Havitafungwa! Vitabadilisha level yake ya kozi. Vingi vitageuzwa kuwa vya diploma na vyuo vya ufundi! Wataalam wengi viwandani ni kwa ngazi ya diploma! Nchi yetu ni ya viwanda!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom