Asome kozi gani ya diploma kwa ufaulu huu

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,700
Reaction score
6,825
Wakuu
kwa ufaulu wa Economic "D" geography "E" Mathematics "E" Zm(EGM) three ya point 14.

akasome kozi gani kwa ngazi ya diploma, kozi itakayokuwa na urahisi na mgawanyiko sehemu nyingi za kupata ajira

Pia kwa upande wa chuo, je chuo kipi kitafaa zaidi kati ya vile vya serikali na binafsi

Kozi ya ualimu isihusishwe katika ushauri huu
Nawasilisha
 
Wakuu
kwa ufaulu wa Economic "D" geography "E" Mathematics "E" Zm(EGM) three ya point 14.

akasome kozi gani kwa ngazi ya diploma, kozi itakayokuwa na urahisi na mgawanyiko sehemu nyingi za kupata ajira

Pia kwa upande wa chuo, je chuo kipi kitafaa zaidi kati ya vile vya serikali na binafsi

Nawasilisha
Huyu degree mbona anaweza kupata asijikatie tamaa aombe degree atapata hasa za uchumi.

Diploma labda akapige meteology iko poa kazi haitamsumbua sana kupata.

Ila kwa vile kapiga mathematics asikubali kwenda course za arts zilizobase upande huo apite humo kwenye kozi za mahesabu mahesabu haya makozi ya arts asee watu ni wengi mno na sasa watu wapo tu mtaani wanazubaa wakati ni wasomi.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako

Meteology inatolewa na vyuo gani hapa nchini, pia ajira zake zihusika na vitengo vipi
 
Dahh ila miaka iliyopita three ya 14.....ilikua unaingia chuo vzr tu..tena bila wasiwasi!!!!
SHIKAMOO NDALICHAKO

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kama hutaki ualimu risiti masomo uliyopata E maana ni uzembe wa hali ya PhD kufeli hesabu na geography
 
Huyu degree mbona anaweza kupata asijikatie tamaa aombe degree atapata hasa za uchumi.

Diploma labda akapige meteology iko poa kazi haitamsumbua sana kupata.

Ila kwa vile kapiga mathematics asikubali kwenda course za arts zilizobase upande huo apite humo kwenye kozi za mahesabu mahesabu haya makozi ya arts asee watu ni wengi mno na sasa watu wapo tu mtaani wanazubaa wakati ni wasomi.
Mshauri bora kabisa
 
nauliza hivi hawa kidato cha sita ambao hawana sifa ya kwenda chuo kikuu habar yao wap inaishia au ndo basi tena
 
Back
Top Bottom