Viwango vya kutunuku matokeo acsee 2017

cavee_louie

Senior Member
Aug 16, 2016
173
68
Habari nahitaji kwa aliepata viwango vya kutunuku matokeo ya acsee 2017 necta kila mwaka lazima watoe ila mwaka huu sijaona

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
 
Habari nahitaji kwa aliepata viwango vya kutunuku matokeo ya acsee 2017 necta kila mwaka lazima watoe ila mwaka huu sijaona

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
Mkuu wanatoa tu kukiwa na mabadiliko. Sijaona mwaka huu hivyo watakuwa wanatumia vile vya 2016.
 
A= 80-100
B= 70-79
C= 60-69
D= 50-59
E= 40-49
S= 35-39
F= 0-34
Hivyo ndivyo fixed grading criteria!
D iko juu sana!
Huyu mama atauwa vijana bt nimeona mwaka huu wengi wamepata izo D kuliko mwaka jana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom