Wadau naomba kufahamishwa hivi kwa wale ambao mmeaply chuo kikuu mwaka huu, kupitia ONLINE APPLICATION SYSTEM, Je, kuna sehemu ya ku-upload picha ya muombaji kwenye profile yake? Maana mimi naona...
Habari zenu wanajamvi, kuna jambo nahitaji kulifahamu vizuri, mimi nasoma stashahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, malengo yangu nikimaliza niombe kusoma shahada ya accounting and...
Nina mdogo angu kamaliza certificate anataka kuendelea na diploma chuo kingine Ila vyuo vingi deadline ni mwez wa 8 anauliza endapo matokeo yatachelewa kuna njia m'badala ya yeye kuweza kufanya...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,nimeingia kwenye page yenu ila sijafanikiwa kuona ada ya degree programs esp. Logistics and Transport Management mwenye kufahamu aniwekee hapa
Sent using Jamii...
Wasaalam bandugu Naombeni ushauri, mimi ni muhitumu wa ualimu ngazi ya degree, sasa kutokana na ugumu wa soko la ajira nataka kufanya maamuzi kutokana na...
Inasemekana,
"Except for eight schools, Kiswahili in 2010 was the medium of instruction in the 15,816 public primary schools nationwide."
Kuna anayezifahamu ni shule zipi hizo lucky eight? Naomba...
Mbona kweny step 1 ya "my profile" sehem ya entry category inagoma kujisave inabak blank hata kama ukijaza, alaf kuedit imegoma kabsa
Msaada plz wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law (LLB))...
Sitaki kupoteza mda
Wasomi naomba mnijuze iv huwa kuna degree ya biology maana kuna mtu hapa kanambia et yeye ana degree ya biology
Naomba mniambie ukweli ili nijue kama kweli huyu mtu ni...
Naomba taarifa za Ngudu high school kwa wanaoifahamu kijiografia na taaluma kwa ujumla wake.
Nimechaguliwa kujiunga hapo kidato cha tano kwa comb. ya PCM kwa mwaka huu wa masomo.
Pia ningependa...
Wakuu,Salaam
Kuna hizi kozi mbili za sheria ya Bachelor of Laws LLB na Bachelor of Arts in Law enforcement,ni kozi ipi soko la ajira ni kubwa kwa sasa.
Ushauri wenu ni muhimu wadau na Mungu...
Jamani namfanyia application bwana mdogo sasa sehemu zingine zote flesh ila tukifika sehemu ya kuingiza details za fomu this naambiwa errors jamani naomba aliyefanikiwa kuapply na alikumbana na...
natumai niwazima wanajamvi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepatwa na matatizo anuai basi Mungu ashushe huruma yake ya kiroho wapate nafuu.
UDOM ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania ila...
Naomba msaada ndugu zangu nilimaliza 4m4 nilipata ufaulu wa daraja la 4 nahitaji kujiunga VETA, naomba ushauri nikasomee kozi gani
Sent using Jamii Forums mobile app