x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 953
- 670
natumai niwazima wanajamvi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepatwa na matatizo anuai basi Mungu ashushe huruma yake ya kiroho wapate nafuu.
UDOM ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania ila na shangaa kwanini kina kosa fani muhimu kama mechanical,electrical,
civil,electronic (engineering ).
ningependa kufahamu nisababu zipi hasa zinapelekea kwa hali hii,eidha ni chuo cha sanaa zaidi,fani za sayansi hazina wasomaji wengi au nini hasa?
karibuni kwa maoni yenu.