maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Naomba taarifa za Ngudu high school kwa wanaoifahamu kijiografia na taaluma kwa ujumla wake.
Nimechaguliwa kujiunga hapo kidato cha tano kwa comb. ya PCM kwa mwaka huu wa masomo.
Pia ningependa kujua kama ninaweza kubadili comb hiyo nikachukua PCB ninayoipenda badala ya hiyo PCM na utaratibu wa kufuata.
Matokeo yangu ya kidato cha nne kwa masomo hayo ni kama ifuatavyo:
Mathematics C
Chemistry B
Physics C
Biology B
Abutariq MC.
Songea.