Guyz naombeni mnijuze ni nini tofauti kati ya PC na school candidate kwenye mitihani ya form six???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba hiyo marking scheme ya pcMarking scheme ya pc sio ya nchi hii, nadhani C ya pc ni B ya school candidate.
mkuu nimesoma under PC na nilipata B mbili na C moja so ingekua ni School candidate B ni A na C ni B?Marking scheme ya pc sio ya nchi hii, nadhani C ya pc ni B ya school candidate.
kvp kiongozMarking scheme ya pc sio ya nchi hii, nadhani C ya pc ni B ya school candidate.
glade n tofaut sio????Tofauti ni majina school candidate na PC lkn Mtihani ni mmoja pia gred tofauti Za PC na school cndt mengine watamalizia wataalamu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini 'kusoma' under PC?mkuu nimesoma under PC na nilipata B mbili na C moja so ingekua ni School candidate B ni A na C ni B?
HaPana.Guyz naombeni mnijuze ni nini tofauti kati ya PC na school candidate kwenye mitihani ya form six???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndugu lkn usiogope watu wanatusua mwanaume -haogopi majukumu pamba ukabiliane nayo.
tofauti ziko katik vigezo vifuatavyo.
1... muda wa kusoma.
2.. mfumo wa kusoma (mode)
3.. Umri mwananafunzo.

PC husoma muda mfupi
SC husoma kwa muda mrefu.

PC hujisomea popote anapojisikia
SC husoma katika mfumo rasmi (shulen)

PC mara nyiingi ni adult learner (WATU WAZIMA)
SC mara nyingi ni watoto (freshers)

Sent using Jamii Forums mobile appGuyz naombeni mnijuze ni nini tofauti kati ya PC na school candidate kwenye mitihani ya form six???
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiongee bila uhakika.Private Candidates mitihani yao ni migumu balaa nahisi hata grade zao ni tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlySC ni mwanafunzi ambae kasoma formal education na PC ni mwanafunzi aliyesoma non formal education lakin mtihani ni mmoja na marking scheme ni moja.
Sent using Jamii Forums mobile app