Zamani TCU guide book ilikuwa inabainisha kozi ambazo ukizichagua kuna uwezekano wa kupewa mkopo, lakini cha ajabu mwaka huu 2017/2018, Tcu wametoa guide book, ambayo haionyeshi Kozi ambazo ni...
Kwa utaratibu wa sasa, tutegemee karibu waombaji wote wenye divisheni 1 na II na baadhi ya wenye divisheni III kupata nafasi zaidi ya mbili kutegemea ameomba vyuo vingapi! Si rahisi MTU kuomba...
Wakuu habari natumai mnaendeleza vema kauli mbiu yetu ya hapa kazi tu.Ndugu wadau naomben mnielekeze jinsi ya kuingia kwenye profile yangu ya UDSM.
MSAADA JAMAN NIPO CHAKA HUKU
Sent using Jamii...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri anataka kusoma ila hajajua asome kipi kati ya ACCA au masters yoyote kama MBA nk.
Uwezo wa kusoma kati ya moja wapo anao. Kwa mfano kusoma masters UD ada ni kama...
Samahani wakuu kwa yeyote anayejua connection jinsi ya kupata sponsor wa kufadhili kusoma Masters (Public Administration, political science, sociology, public policy) ndani ya nchi yetu hii naomba...
Water Institute (WI) is fully registered by the National Council for Technical Education (NACTE) and its Programmes are fully accredited by NACTE.The Institute invites applications from qualified...
Wakuu habari..
Nauliza hivi mtu akijiunga na ordinary diploma ya C.O,pharmacy,lab tech na kupata gpa ya 3.0 na kuendelea?je akitaka kujiunga chuo anatumia kigezo kujiunga na degree kwa kuwa...
Kufungiwa kwa vyuo 19 naona iwe fundisho kwa wanafunzi walio vyuoni,,
Hapa point yangu ni kwamba wajitahidi wa score higher marks as possible na wakati huo huo wajitahidi kupata knowledge...
Wakuu Habari,
Naomba kujuzwa vyuo (vinavyotambulika na serikali) ambavyo vinafundisha mapishi ya nchi mbalimbali na pia vinatoa nafasi ya kwenda field.
Kuna dada yangu anahitaji kwenda...
Habarini za kazi naomba kufahamiswa hivi MTU akimaliza diploma ya nursing anaruhusiwa kuunganisha degree yake pasipo kufanya kazi kwa muda yaaan uzoefu ama inakuaje kwa upande Wa afya
Asalaam Aleykum walahmatullaah taallah wabaraqatuh!
Moja kwa moja niende kwenye point
Mimi ni mjasiriamali ila kuna shughuli nataka kupitia kufanya mashuleni na nilipenda kabla sijaenda mashuleni...
Habarini wapendwa ni hvi nashidwa kufahamu nacte wanahitaji formati gani y number wanayotaka mtu aingize kabla y ku submit hyo form...kama kuna ambaye anajua anifahamishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.