Jamani nashindwa kuendelea kuappy NACTE

Jamani nashindwa kuendelea kuappy NACTE

Mwanyoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
636
Reaction score
460
Jamani namfanyia application bwana mdogo sasa sehemu zingine zote flesh ila tukifika sehemu ya kuingiza details za fomu this naambiwa errors jamani naomba aliyefanikiwa kuapply na alikumbana na tatizo kama hilo alifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hapa hujaeleweka ulikuwa unaingiza fomu? Tufahamishw vema tukusaidie
 
Naona iko powa mie nimejaribu imekubali hebu jaribu tena
Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....

Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?
 
Nacte wanahusika na kudahili wanafunzi kwenye Kozi za Afya na Ualimu tu mengine unaomba direct kwenye chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaaaa wasomi wa sasa kaz mnayo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mlipie m pesa izo 10000 kabisa muone inakuaje maan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nacte wanahusika na kudahili wanafunzi kwenye Kozi za Afya na Ualimu tu mengine unaomba direct kwenye chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?

Hii serikali yetu inazingua kinoma noma... na ilitakiwa kwenye website yao watoe tahadhari mapema kabisa unapoanza mchakato.

Yaani tulishalipia ndio matokeo yake hayo tena hela yetu imeliwa.
 
Naona iko powa mie nimejaribu imekubali hebu jaribu tena
Nimefika kwenye kuingiza field of study imegoma kabisa(hainyeshi kuendelea), HAS iko faint na TLF iko active lakini hainyeshi next step. Msaad mkuu
 
Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....

Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?

Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....

Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?
Nimefika kwenye kuingiza field of study imegoma kabisa(hainyeshi kuendelea), HAS iko faint na TLF iko active lakini hainyeshi next step. Msaad mkuu
 
Mimi nina FTC in Civil Engineering, kwenye kujaza index No imeniletea error hii 'Error! Incorrect Index number format, Use SXXXX/XXXX or PXXXX/XXXX formart and try again (Code 1000)'. Wakati Wakati index no ya FTC ipo kwa mfumo wa UXXX-XXXX. Nimelazimisha hiyo baadae nimeletewa maelezo haya:
HTTP Status 405 - HTTP method GET is not supported by this URL.

type Status report

message HTTP method GET is not supported by this URL

description The specified HTTP method is not allowed for the requested resource.

Apache Tomcat/8.0.8
Dah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?

Hii serikali yetu inazingua kinoma noma... na ilitakiwa kwenye website yao watoe tahadhari mapema kabisa unapoanza mchakato.

Yaani tulishalipia ndio matokeo yake hayo tena hela yetu imeliwa.
 
Dah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?

Hii serikali yetu inazingua kinoma noma... na ilitakiwa kwenye website yao watoe tahadhari mapema kabisa unapoanza mchakato.

Yaani tulishalipia ndio matokeo yake hayo tena hela yetu imeliwa.
Waliweka hilo tangazo mbona labda tu hukulisoma kabla ya kuanza kuapply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom