Naomba ushauri; nikasomee kozi gani VETA?

Naomba ushauri; nikasomee kozi gani VETA?

Somea ufundi umeme! Ukifungua kibanda chako cha kuuza vifaa na wateja wakija unaenda kuwatengenezea umeme wewe mwenyewe then maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom