Looking for computer college

Ukiachilia mbali jina la chuo, walimu wazuri huchangia sanaa kufaulu/kuiva kwa mwanafunzi.

Ni vigumu kujua wapi kuna walimu wazuri, labda uambiwe na wanaosoma wakati huo.
hata hivyo, wanaweza kuwepo walimu wazuri lakini wakahamishwa au kuacha kazi.

Nafikiri cha kuzingatia ni chuo chenye vifaa vya majaribio wakati wa masomo na kujisomea zaidi mtandaoni.

Mapendekezo:
1. UCC
2. DIT
 
Back
Top Bottom