Kuambiwa email not valid inawezekana ukawa unakosea kuandika hiyo email au unakosea password basi...! So make sure unarekebisha hayo mamboNimefanya yote ninefungua account. Gmail, mail na yahoo still naambiwa email not valid
Mission complete nilikuwa nakosea domainKuambiwa email not valid inawezekana ukawa unakosea kuandika hiyo email au unakosea password basi...! So make sure unarekebisha hayo mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
kizungu hatari...Mission complete nilikuwa nakosea domain