Biomedical engineering diploma

Menyu Nix

Member
Jul 9, 2022
33
10
Tafadhali! naomba ushauri juu ya kusoma diploma kozi ya Biomedical engeering.nimemaliza kidato cha sita PCM nimepata DEE Degree nadhani nafasi ipo kwa upande wa education tu! nami huko sitaki.
Nahitaji kusoma kozi hii(BIOMEDICAL ENGINEERING) but sijajua kuhusu ajira ipo kwa upande wa Diploma au vipi ?
Msaada wa maelezo yake Please
au ushauri...!
 
Mkuu ukiwa unasoma achana na swala la ajira Soma kile kitu unachovutiwa nacho zaidi utanishukuru baadae
 
Ingawa ajira zake ni ngumu hizi kozi ndio zenye maisha law,ba,public administration,finace,economics,accounting.

Ila ukitoboa kwenye hizo kozi umetoboa kweli.

Achan na hizo kozi za daraja la chini la wafanyakazi...soma kozi za daraja la juu la watawala ukale maisha.

Pia chagua kozi itakayo kupa nafasi ya kujiajiri pia mana kitaa ni kigumu balaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
But Diploma ipo Bomba ama ajira ndo hadi ujiajir???
 
Mkuu ukiwa unasoma achana na swala la ajira Soma kile kitu unachovutiwa nacho zaidi utanishukuru baadae
Nimekupata! But nilikua namawazo mawili ya kwenda kusoma au nisiende nifanye biashara Ila nikawa na wazo niulize kwanza !
Hata hivyo naona miaka Mitatu ni Mingi kusoma hafu ajira ikawa nouma ingawaje ajira Serikalini sipendelei sanaaa...but niliamini labda ukisoma kozi hizi ajira Fasta Fasta!!!

Mana kunarafiki angu alinambia hii kozi huwa watu hawaachwi nikaona siyo mbaya kuuliza!!!
 
kasome Dental utakuja kinishukuru baadae mkuu
Oyaah! unazungumzia CLINICAL DENTISTRY.
KAM collage wanatoa Pia
Mbeya Health science and ...
pia Iringa....
But sijaijua Ipoje kwa ishu ya kujiajiri ama kuajiriwa...!!!
 
2yrs imepotea bureee, aseeeh poleee sanaa.

PCM walau hata ungepata DDD. Ulikua unacheza sanaa eeeh?
Au ufaulu wako wa CSEE ulikua wa mchongo? Nawee ukayavagaa tyuuh 1 kwa 1 Advance,

Woiiiiiiiiih
 
2yrs imepotea bureee, aseeeh poleee sanaa.

PCM walau hata ungepata DDD. Ulikua unacheza sanaa eeeh?
Au ufaulu wako wa CSEE ulikua wa mchongo? Nawee ukayavagaa tyuuh 1 kwa 1 Advance,

Woiiiiiiiiih
hahahaha!!! No problem! O level nifanya vizuri one ya 9 nashanga Advance nimeenda kuwa bridge kwa wengine!!!
Hata hivyo sina namna kubaki na business ama au kwenda diploma!!
Just kulost time tu
 
Nimepita huko Biomedical was so hot wakati iko introduced for the first time and Arusha Technical was the first College to introduce Biomedical, The first batch was all taken to various Hospitals but ilikuwa ni Upepo tu
Frankly speaking Kasome Course kati ya Hizi
-Civil, Mechanical au Electrical
But as long as you have shown interest with biomedical just go to Electrical
Those 3 courses are Core Courses
Ila kama hutegemei ajira nenda chochote ukipendacho
ooooh!!! hapo sawa Nimekupata Asante be blessed!!!
Nimechukua ushauri wako !!
 
Back
Top Bottom