Wakuu, I am looking for Advanced Math Books Vol I and II by TIE/Kinunda. I will accept used copies at reasonable prices.
Natanguliza shukrani.
Mahenga ya PCM utayajua tu
Nakumbuka Kinunda aliweka mathematical proof ya 1 = 2.
Wakuu, I am looking for Advanced Math Books Vol I and II by TIE/Kinunda. I will accept used copies at reasonable prices.
Natanguliza shukrani.
That is called a Mathematical Humor (a+b)^2=(a+b)(a+b)....if a=b the axb=a^2......Mahenga ya PCM utayajua tu
Nakumbuka Kinunda aliweka mathematical proof ya 1 = 2.
Wenzake wanaweka mathematical proof ya Cos²A+Sin²A=1, yeye anadanganya dunia kwamba 1=2 !!!, kweli kinunda ni Nunda.![]()
Hujasoma hesabu wewe, umeparaza tu!
Hivi abstract algebra unaifahamu?
Unafahamu kwamba kuna hiki kitu 3x4=0 au 3+2=1?
Prof Shayo, sisi wabishi kabisa tulikuwa tunatumia Advance Maths by Erwin KreyszigAdv, Maths books by kinunda???!! 🤣🤣🤣 umenikumbusha mbali sana.
Kuna; Tranter, Turner, Backhouse 1 &2 nk.
Ukiweka premises zako everything is possible kulingana na assumptions zako...., ila katika uhalisia the beauty of mathematics ni kwamba its not subjective yaani useme 2 + 2 ni 8 alafu ulete maelezo marefu kwanini ni 8 hizo sasa zitakuwa ni siasa na sio hesabu....That is called a Mathematical Humor (a+b)^2=(a+b)(a+b)....if a=b the axb=a^2......