Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Uzi huu ni maalum kwa vijana wote waloomba vyuo kabla ya TCU kutoa mwongozo! Jamani wengi mnakumbuka karibia kila chuo kilikuwa na ada yake mfano wapo waliolipa 30,000 UDOM, 20,000 UDSM, 20,000...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wadau. Awali ya yote ashukuriwe Mungu mwenye kutuwezesha yote. Nashukuru Mungu nimepata chuo, mwanzo nilikuwa kwenye majina ya watu wenye matatizo, baadae udsm wakanichagua katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Form four index number yangu ni S0912.0088.2014 na password ni 0757988254
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje dar es salaam mimi niende morogoro. Kada elimu sekondari Nipo wilaya ya Ubungo Kama yeye atakuwa wilaya ya mvomero itakuwa poa ndio wilaya ninayotaka...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Jamni kwa niaba ya wanafunzi wenzangu mbona matokeo hayatoki kama walivyo sema ama huku nilipo system sio nzuri? Naomba kujua kama yametoka ama bado asante natangulia salamu kwenu Mungu...
2 Reactions
509 Replies
76K Views
Ana perfomance nzuri CBG, ameomba chuo mwenge na UDOM mpaka sasa hatujaona chuo alichopangiwa. Je mtu anaweza pewa mkopo bila chuo? Ni njia ipi tunaweza tumia kujua chuo alichopangiwa? Vyuo hivyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kulikua na haja ya ku comfirm kama umechaguliwa chuo kimoja?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, zikiwa zimebaki siku tatu (3) tu TCU ifunge awamu ya Pili ya Udahili Vyuo vikuu UDOM bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo hicho kwa mwaka 2017/18 na hakuna maelezo...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habar wadau naomba kuuliza maana ya hili neno breakdown!!!then wameniandikia sh mil 2085300
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nilichaguliwa chuo kimoja mara ya kwanza lakini siku comfirm. Je kulikua na ulazima wa ku comfim kwa tulio chaguliwa chuo kimoja?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Hii katakata umeme wakati watoto wetu wanajiandaa na mtihani wa kidato cha IV kulikoni? TANESCO mnampango gani na watoto wetu wa kidato cha nne. Au ndo program yenu ya kisiri ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu rais sijui mwepesi sana kusahau au tu anafanya makusudi yani ni miaka miwili tu alipoingia madarakani amesahau ahadi zake! Au ndiyo zilikuwa ahadi hewa? Mikopo elimu ya juu jamaa huyu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu! Jina la mdogo wangu lipo kwenye orodha ya waliopata mkopo batch two. Naomba mwenye access nzuri ya mtandao anisaidie kuingia kwenye akaunti kisha anitumie hapa mchanganuo wa mkopo...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu naomba kujua shule za binafsi zenye kutoa elimu nzuri kwa mwanafunzi kielimu, kimaadili, n. K. Pia ada zao kama mwanafunzi atakaa shuleni (bweni) kwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu Kwa sababu fedha na mali ni mali yake... Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Naomba kusaidiwa wana JF kwa wanaokaaa mkoa wa Mwanza elimu ya QT hutolewa mahala gani na vituo vipi?
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Mm nmechaguliwa udsm nikasomee .bachelor of commerce in touris. And then udom wamenchagua bachelor of art in economics and statistics naomba ushauri wenu niende chuo gani..?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zatu waungwana .. Leo nimejimovuzisha hapa ili nijaribu kuweka mambo fulani - alafu kwa wale watakaoguswa waweze kuchangia ili tuboreshe elimu na maarifa kwa vijana wetu. 1. Napenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi... Tanzania tuna utajiri wa watu wenye uwezo wa kuandika mada mbalimbali katika vitabu ila hawajafanya hivyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na woga wa kuthubutu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…