Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Habari zatu waungwana ..
Leo nimejimovuzisha hapa ili nijaribu kuweka mambo fulani - alafu kwa wale watakaoguswa waweze kuchangia ili tuboreshe elimu na maarifa kwa vijana wetu.
1. Napenda tujadili ni misingi ipi iwekwe ili vijana wetu waweze kujifunza mambo yenye tija kwa maisha yao?
2. Mtu anawezaje kujifunza kitu ambacho hana habari nacho?
3. Kipi kifanyike ili vijana wetu wawe na hamasa ya kujua kwanza vitu - then ndo wawe na moyo wa kujifunza?
Maswali haya yakijibiwa kwa ufasaha - naamini tutajua ni wapi pa kuanzia ili kuleta mapinduzi ya kweli katika suala zima la kuinua uelewa / elimu na maarifa kwa vijana walio wengi. ....
Nakaribisha watakaoguswa na hili ... nami siko mbali nitaendelea kuwepo kwa kadri Mungu atakavyoniwezesha.
Ahsanteni.