Giza karibu na NECTA form iv, TANESCO kulikoni?

Giza karibu na NECTA form iv, TANESCO kulikoni?

Tata Maestro

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
169
Reaction score
175
Wadau,
Hii katakata umeme wakati watoto wetu wanajiandaa na mtihani wa kidato cha IV kulikoni?

TANESCO mnampango gani na watoto wetu wa kidato cha nne. Au ndo program yenu ya kisiri ya kuwafelisha? Mbona majuma yaliyopita ulikuwa haukatiki katiki ivi?

Imekuwa karibu kila siku angalau umeme ukatike hata saa 2 tu usiku. TANESCO liangalieni hili watoto wa kidato cha IV wako kwenye maandalizi ya NECTA
 
Back
Top Bottom