Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wale waliochaguliwa apo tukutane hapa tupeane moja mbili tatu
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Naomba kujua course ya information and library science inahusu nn,je ukisoma unakuja kuwa nan??
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Kwanza nipende kuwa pongeza kwa kujitahidi kutoa course nyingi na nzuri..nadhan watanzania wengi hawajajua umuhim wa hiki chuo Lakini bado wanakasumba ya kufanya kazi kwa mazoea hasa kipindi cha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza hongereni kwa kupewa nafasi ya kuendelea na elimu ya juu. Pili hongereni kwa kupata chuo TAKATIFU kwanini nimesema takatifu?? Ni chuo kizuri kwa Mazingira Lectures wake sikuwahi kumchukia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa wale waliochaguliwa ruaha university na watakaa geto tukutane Hapa.nauliza vyumba vya kupanga ni bei gan na maeneo gan ni gud
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Hiki chuo ckielew ubora wake wala ubora wa Koz zake .jaman kwa anaefaham kuhus maritime transportation msaada please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi Cha Berega kilichopo Kilosa mkoani Morogoro wametelekezwa na mfadhili wao Chama Cha Lions Clubs Morogoro ambacho kiliahidi kuwasomesha na kuwatafutia ajira baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mimi naipenda sana demokrasia, pia napenda niwe mwanadiplomasia elimu yangu ni kidato cha 4 point 29 arts. Nipo Tabora nimejishikiza sehemu napata hela ya kula na maisha yanasonga. Naamin...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ile special diploma ya kikwete ipo au imekufa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye uelewa/ujuzi na kozi tajwa hapo juu naomba anisaidie tafadhali, jinsi ilivyo na upana wake kwenye soko la ajira/kujiajiri.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo, ajira za ualimu imekua ahida kwangu, Je niendekee kusaka ajira au nikasomee udeleva wa magari makubwa ( ajira uhakika)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wapendwa kuna kitu kimoja ambacho nimekua nikishangaa kuaona mwanafunzi anayefaulu darasa la saba na akachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza serekalini(shule za kata ) anafeli kidato cha nne...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliepo au anaefaham chuo kikuu cha makumira Arusha
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Habari zenu wakuu!! Je dental laboratory technology kwa ngazi ya diploma ni njema kwa maslahi binafsi na kwa nchi kwa ujumla? Nisaidien wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza nipende kuwapa pole na shughuli mbalimbali, na hongereni wananchi wote kwa mafanikio ya mwaka huu. Najua Tunamuomba Mungu ili aendelee kutulinda na kututunza kila iitwapo leo, pia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mwalimu yeyeto aliepo dar anafundisha sekondari alietayari kuhamia Arusha mjini anatangaziwa zawadi ya 1,300,000tsh ikiwa atakuwa tayari kubadilishana vituo vya kazi. Hakuna utapeli kama una...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WALIOCHAGULIWA MUM KAMA WAPO MWONGOZO WADAU KUHUSU KOZI YA LAW AND SHARIAH IKOJE HIYOO WADAU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Ninaomba msaada kwa yoyote anayefahamu Journals zenye impact factor nzuri/kubwa, zinazopokea scientific papers na kuzipublish bila kutoza pesa yoyote kwa Authors. Journal...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
@natgeo getting up close and personal with a large American Crocodile during a sunset thunderstorm in Gardens of the Queen, Cuba. Paul and I worked together to capture this unique perspective in...
1 Reactions
0 Replies
626 Views
Back
Top Bottom