Duuh!!Nenda Vyote viwili
Kwa jinsi navyoona Malumbano ya vyuo humu bora asome vyote viwili maana wakianza kupondana humu waliosoma UDom na Pale Bwenini utatamani ungesoma vyote viwili.Duuh!!
Hahaha!!!ila huyo jamaa kwenye avatar yako na mkubali sana Alexander mahonneKwa jinsi navyoona Malumbano ya vyuo humu bora asome vyote viwili maana wakianza kupondana humu waliosoma UDom na Pale Bwenini utatamani ungesoma vyote viwili.