Natafuta mtu wa kubadilishana nae

Natafuta mtu wa kubadilishana nae

Tokez

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
72
Reaction score
29
Natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje dar es salaam mimi niende morogoro.
Kada elimu sekondari
Nipo wilaya ya Ubungo
Kama yeye atakuwa wilaya ya mvomero itakuwa poa ndio wilaya ninayotaka.
Mawasiliano ni 0714400422
 
Kweli maisha popote,wakati wengine wanapambana waje mjini wengine wanataka kuondoka mjini!
 
Uwii ww ni potential sana but unakohamia cko anakotoka muhamaji..damn it[emoji21][emoji21]
 
Back
Top Bottom