Jaman msaada, eti bachelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi? Na unakuwa nani baadae? Kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua MUCCOBS socialogy and social work...
Wakati hawa jamaa wanatuhamisha kutoka analojia kwenda Dijitali
Hawa jamaa (mamlaka zinazohusika waliwahi jinasibu kuwa chanel zote za ndani tutakuwa tunazipata hata kama hujalipia
Nilikuwa...
Kwa kweli natamani nikutane nabJerry muro nimpe ushauri wangu kuhusiana na kipindi chake kizuri sana cha usiku wa habari (Nadhani mnakikumbuka)
Kama kuna mtu anafahamiana naye amwambia kuwa kile...
Haya fursa Hiyo kwa wenye uhitaji, ila masharti yake yatakukimbiza kabla hata hujapata Maelezo. Huu ndio utapeli uliowazi, wanajinasibu kusaidiana watoto maskini lskini hakuna kitu, vijana wanalia...
Habar vijana wenzangu tuliofanya mtihani wa basic technician certificate NTA level 4 August 2016.. nina imani matokeo yetu yametolewa rasmi 3.february..2017.. na kwa bahati mbaya wengi wetu...
Najua unajua lakini napenda upate kujua zaidi!
Irabu tano za Kiswahili zina uwezo wa kutengeneza neno kamili pasi na matumizi ya consonant, maneno haya mf ua, oa, au. Kiswahili pekee kinakidhi...
Kwa mujibu wa wanafunzi wa chuo kikuu cha newcastle cha nchini uingereza kupitia utafiti wao, walibaini kuwa idadi ya bacteria waliopo katika kinywa cha binadamu ni zaidi ya idadi ya binadamu wote...
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four, walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mitihani. Hivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu.
Mimi...
Majibu ya mikopo kutoka kwa wazir.Mh.Mama Ndalichako.
1.TSNP tulikuwa tunapinga vyuo kudahili baadaye ,kusema Nafasi zimejaa Mfano.chuo cha mwenge university. Ambapo kama mnakumbuka tuliandika...
Kwa mwenye uelewa mzr kuna dogo anataka hama chuo,kweny chuo anachotaka hama hajapewa uhakika wa kupata chuo na ukiangalia chuo alichopangiwa mda unakaribia isha wa regstration sa ili kilinda...
Tanzania ya viwonder
WANAFUNZI 31,000 KUKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM
WANAFUNZI zaidi ya 61,000 wamewasilisha maombi ya mikopo katika Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi...
Jamani vijana huu ndo wakati wa kujiongeza mana tuna Sera ya hapa kazi tuu na viwanda kwanza. Vijana tujipanage tujue jinsi ya kupata Mkopo toka serikalini tuwekeze kwenye kilimo na viwanda vidogo...
Mimi ni muhitimu kidato cha sita mwaka 2017 kwa bahati mbaya nimepata Div.3.14 yaani DEE mchepuo wa CBG kwa bahati mbaya sina sifa za kujiunga katika ngazi ya degree kwenye chochote hapa nchini...
Kwa wenye kujua mahali kuna maticha wazuri wa kufundisha tyusheni ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology ya kidato cha 5 na 6 katika jiji la Mwanza wakati wa likizo naomba wanifahamishe.
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMTULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, Leo Tutajifunzza NJIA RAHISI YA KUPATA JIBU LA SWALI LOLOTE LA MATHEMATICS (step BY step)
MAHITAJI
1.SmartPhone
2.MBs Kadhaa
3. Browser...
Ndugu zangu wale waliochaguliwa IFM bachelor of taxation and management tukutane hapa tupeane updates and other information kuhusu chuo, kozi na mambo mengine ya maendeleo... Asanteni!!
Salaaam sana wakuu!!
Bila kupoteza mda naomba msaada kwa aliye na mwlawasiliano yeyote yale kutoka shule ya secondary Mlongwena iliyopo Lushoto Tanga kwani kuna jamaaa anahitaji aombe nafasi ya...
Suala nililoliandika katika barua yangu ya wazi kwa mh.Naibu waziri wa elimu.Ole Nasha juu ya idadi kubwa ya wanafunzi kukosa mkopo na vyuo kutoruhusu wanafunzi kufanya usajili hadi walipe...