Jerry Muro Usiku wake wa habari

Jerry Muro Usiku wake wa habari

lindunduru

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
392
Reaction score
555
Kwa kweli natamani nikutane nabJerry muro nimpe ushauri wangu kuhusiana na kipindi chake kizuri sana cha usiku wa habari (Nadhani mnakikumbuka)

Kama kuna mtu anafahamiana naye amwambia kuwa kile kipindi aendelee kukitengeneza na awauzie watakao taka.naamini hawezi kosa wateja kwa kipindi kizuri kama kile,hasa nyakati kama gizi
 
Huyu jamaa anawaangusha sana wamachame na wachaga kwa ujumla kazidi uboya aise
 
Uyu jamaa namsikiaga Tangu zaman ila sijawai bahatika kujua ni nan na anafananaje zaid ya kusikia sauti yake kwenye vipindi vya michezo
 
Back
Top Bottom