TRANSFER YA CHUO

TRANSFER YA CHUO

kenlick00

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
45
Reaction score
5
Kwa mwenye uelewa mzr kuna dogo anataka hama chuo,kweny chuo anachotaka hama hajapewa uhakika wa kupata chuo na ukiangalia chuo alichopangiwa mda unakaribia isha wa regstration sa ili kilinda nafas yake icho chuo c bora akaripot na awe anasubl tramsfer akiwa chuon apo ? Na ukizngatia alipokea boom na pia mda wa kusign unakaribia ishaa msaaada kwa ilo
 
Ndivyo inavyotakiwa kufanya, maana huwezi kufanya transfer bila kuwa registered chuo ulichochaguliwa. Pia pita tcu web kuna guidelines za interuniversity transfer
 
Back
Top Bottom