Naomba mawasiliano ya shule ya sekondari Mlongwena iliyopo Lushoto Tanga

Meatu01

Senior Member
Dec 20, 2016
169
94
Salaaam sana wakuu!!
Bila kupoteza mda naomba msaada kwa aliye na mwlawasiliano yeyote yale kutoka shule ya secondary Mlongwena iliyopo Lushoto Tanga kwani kuna jamaaa anahitaji aombe nafasi ya kuenda kufanya pale field mwezi wa pili yeye anafundisha chemistry and biology

Unaweza nitumia inbox kwangu ama ukawasiliana naye moja kwa moja kwa simu namba 0628991059
 
Salaaam sana wakuu!!
Bila kupoteza mda naomba msaada kwa aliye na mwlawasiliano yeyote yale kutoka shule ya secondary mlongwena iliyopo Lushoto Tanga kwani kuna jamaaa anahitaji aombe nafasi ya kuenda kufanya pale field mwezi wa pili yeye anafundisha chemistry and biology .
Unaweza nitumia inbox kwangu ama ukawasiliana nae moja kwa moja kwa simu namba 0628991059
 
Back
Top Bottom