STANBIC BANK wanatoa mkopo ya elimu ya juu.

STANBIC BANK wanatoa mkopo ya elimu ya juu.

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Haya fursa Hiyo kwa wenye uhitaji, ila masharti yake yatakukimbiza kabla hata hujapata Maelezo. Huu ndio utapeli uliowazi, wanajinasibu kusaidiana watoto maskini lskini hakuna kitu, vijana wanalia kweli kweli
 
Endeleeni kututesa ccm...kipindi cha jk huu upuuzi haukuwepo...
 
Back
Top Bottom