Wahanga wote wa clinical medicine NTA level 4.... 2015/2016 hapa!

Willy mayor

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
346
44
Habar vijana wenzangu tuliofanya mtihani wa basic technician certificate NTA level 4 August 2016.. nina imani matokeo yetu yametolewa rasmi 3.february..2017.. na kwa bahati mbaya wengi wetu wamebaki na majonzi makubwa na miongoni mwetu wameweza kubahatika kuendelea na NTA level 5....

Dhumuni la hii thread ni kujadili njia mbadala itayoweza kutupa moyo wa kuweza kujiamini tena maana lile neno linaloitwa [HASHTAG]#Discontinued[/HASHTAG]... limewakuta wengi sana so karibuni humu ndani tuweze kufarijiana angalau kwa mambo mawili matatu...

[HASHTAG]#Karibuni[/HASHTAG]..
 
Mi nawashauri badala ya kukaa hapa kupoteza muda kujadili, mngekamata vitabu mjisomee.

Kufaulu hakuletwi na mijadala.
 
Back
Top Bottom