Habari wakuu..ningependa kuuliza kama kuna vyuo teali majina ya wale wa misallocation kama yameshashughulikiwa na kutumwa chuoni. Toka bodi waseme majina 590 yashapelekwa vyuoni siku wanatangaza...
Habari wana JF!
Katika vyeti vyangu form 4 na 6 pamoja na chuo nimekua nikitumia majina mawili badala ya matatu. Hata hivyo, katika vitambulisho vya utaifa na mpiga kura nimelazimika kuweka jina...
Poleni na pilikapilika za hapa na pale pia niwape pole na kuwapongeza Kwa kuendelea kulijenga taifa letu la tanzania.
Suala lililonileta hapa ni kuomba wanazuoni mnisaidie juu ya chevening...
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuzirejesha serikalini shule za sekondari ambazo imeshindwa kuziendesha ili ziboreshwe na kutoa elimu bora kwa...
Ndugu wana jukwaa,
Naomba Mdau yeyote mwenye maelezo au uelewa wa hizo Masters programs tajwa hapo juu anipe muongozo zaid zinahusu nini na tofauti yake ikoje? Masters programs zinazotolewa CBE...
Naona bodi ya mikopo na serikali wanazingua watu mtu ana uhitaji hana wazaz na hana uwezo wa kusoma bila mkopo alafu wanamnyima. Ruhusuni mashirika binafsi yatoe mkopo vijana tunateseka vyuoni
Imekuwa kawaida kwa kila kitu katika nchi yetu kuingizwa siasa.Hata jambo la proffesional wasomi wameshindwa kulisimamia ktk proffesional yake.
nawashukuru wanasheria ambao naona kwa upande wao...
Naandelea na masomo yangu ya chuo kikuu Udsm nikiwa mwaka wa kwanza namshukuru mungu ni mmoja ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Loarn Board katika masomo lakini kitu kinachonifanya nisijisikie vizuri...
Habari wanajamii forum, naomba msaada kutoka kwa mwanafunzi yoyote alieomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017 akiwa kama continuous student ani dm. Ninashida ya kutambua kama batch ilitoa, maana...
Wakuu habari zenu...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne 2015 na katika matokeo yangu nimefaulu vizuri na nimebance comb zote za sayansi yaani pcb,pcm,pgm,cbg,egm
lakini lengo langu kubwa ni kusoma...
Msaada tutani ukiwa na Math F, Kiswa D, Geo F, Eng D, Civ D, Bio D, Chem D, hist d, Phyc F . Unaweza soma certificate in information technology kwa chuo cha DIT . Ada zao zikoje na wanapokea...
Kuna wanafunzi ambao walitakakiwa kucomfirm majina yao kwa loan board kupita loan officer kwamba ni wanafunzi wa IFM baada ya matokeo kutoka, wameshafanya hivyo mwezi mzima umepita results za...
Wadau wa jamii forums naombaa kuelekezwa hii kozi ya fitter mechanics inayo tolewa na veta ni kozi inayo husu kitu gani na pia ina soko LA ajira kwa kipindi hiki
Wanajukwaa habari za wakati huu?
Moja ya vigezo vya mtu kufundisha chuo kikuu ni GPA above 3.5 kwa undergraduate.
Mimi Nina GPA ya 3.4 kwa undergraduate na GPA ya 4.0 kwa masters. Je nikiendelea...