MSc in Information systems management UDSM na Masters in Information Technology project management CBE

MSc in Information systems management UDSM na Masters in Information Technology project management CBE

DhulRah

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
251
Reaction score
218
Ndugu wana jukwaa,
Naomba Mdau yeyote mwenye maelezo au uelewa wa hizo Masters programs tajwa hapo juu anipe muongozo zaid zinahusu nini na tofauti yake ikoje? Masters programs zinazotolewa CBE zipoje in academic wise?
 
Masters is added value. Angalia wewe mwenyewe unataka uongezee kitu gani katika taaluma na kazi unayofanya kwa sasa.
 
COICT wanazingua wameweka kozi tui hata content za hiyo kozi katika web hakuna
 
Back
Top Bottom