Continuous Student alieomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017.

loulla

Senior Member
Jun 11, 2016
118
225
Habari wanajamii forum, naomba msaada kutoka kwa mwanafunzi yoyote alieomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017 akiwa kama continuous student ani dm. Ninashida ya kutambua kama batch ilitoa, maana mpaka dakika ya mwisho nafatilia walikua hawajashughurikia kwa continuous students, na sasa naskia kuna continuous waliopata nao wamejua sasa.
Asanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom