Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 233
- 493
Poleni na pilikapilika za hapa na pale pia niwape pole na kuwapongeza Kwa kuendelea kulijenga taifa letu la tanzania.
Suala lililonileta hapa ni kuomba wanazuoni mnisaidie juu ya chevening scholarship, kwamba inahitaji vigezo gani Kwa level ya masters, na pia unaanza vipi kuwa eligible Kwa kupata masters katika chevening scholarships?