Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wakuu habari zenu...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne 2015 na katika matokeo yangu nimefaulu vizuri na nimebance comb zote za sayansi yaani pcb,pcm,pgm,cbg,egm
lakini lengo langu kubwa ni kusoma pcb na pia sina mpango wa kusoma shule private kutokana na hali maisha hivyo baada ya matokeo kuwa mazuri nimekuja kwenu kunipa ushauri mbinu za kuweza kufaulu vizuri kusoma pcb pia vitabu gani vinaweza nisaidia na kwa upande wa dar je kuna mwalimu yupi mzuri wa tuisheni kwa masomo haya....
Note
~naombeni msaada kwa hili najua kuna wadau mbalimbali wa elimu